kwa anaye jua juu ya Tablet 2.2

kwa anaye jua juu ya Tablet 2.2

DCONSCIOUS

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Posts
1,269
Reaction score
473
Nataka kununua Tablet ya Android 2.2 lakini siijui kiundani hivyo naomba msaada wako unae jua Ubora/mazuri na Mabaya/mapungufu ya Android 2.2 .Kwani naogopa kuingia kichwa kichwa nisije kuingiliwa kwani sijui hata bei yake dukani.
 
Subiri watu wa marketing wakupostie user manual,
kwa swala la uzuri, utaipenda!
 
Inategemea kama ni ya apple au samsung...kwani we wataka nunua ipi?
 
Sasa apple na samsung wote wana tablet zao zinazotumia android....
 
Unaposema Tablet ya 2.2 hili halina maana ni sawa na kusema nataka kununua compyuta ya Windows 7, lazima uangalie exact model ya hiyo tabletna spec zake. Tablet za Android zinatengenezwa na kampuni nyingi kasoro Apple.

Kwa ujumla Android 2.2 haikutengenezwa kwa ajili ya tablets ni operating system ya simu ambayo watu wameiforce kwenye Tablet ukitaka tablet ya Android tafuta yenye Android 3 kwenda juu na ambayo iko upgradable to Android 4 ICS. Pia hakikisha ni Google Approved Android kama sio Google aproved haitakuja na App za Google na haitakuwa na access ya Android Market kwa ajili ya kupata Apps.
 
Back
Top Bottom