Msaada kuhusu MacBook unahitajika

Dotori

JF-Expert Member
Nov 3, 2007
544
24
MacBook sijaitumia kwa muda mrefu sasa. Majuzi niliicharge na kujaribu kuiwasha bila mafanikio. Je tuna authorized dealer wa Apple ambaye niwaweza kumpelekea ku-troubleshoot? Nitashukuru kwa msaada.
 
Hongera kwa kujiunga na familia ya OS, authorised dealer ni Elite Computes, Service center yao ni pale Upanga Opposite Olympio Primary, Duka lao liko JM Mall mtaa wa Samora!. Pale Shoppers Plaza ghorofa ya kwanza pia kuna Mac shop pia wanafanya service.

Angalizo, kama mac book yako ni ya "moto", usiipeleke pale, ndio itakuwa imefika!.
 
Nashukuru Pasco! MacBook ni genuine na wala haina shaka yoyote. Nitaenda huko.
 
Hongera kwa kujiunga na familia ya OS, authorised dealer ni Elite Computes, Service center yao ni pale Upanga Opposite Olympio Primary, Duka lao liko JM Mall mtaa wa Samora!. Pale Shoppers Plaza ghorofa ya kwanza pia kuna Mac shop pia wanafanya service.

Angalizo, kama mac book yako ni ya "moto", usiipeleke pale, ndio itakuwa imefika!.

"Moto" maana yake nini?
 
"Moto" maana yake nini?

ah ah dah ngoja nikufungue..maana yake ya dili wenzangu na mimi....mi nina powebook G4 ila naiupdate kibishi tu na zain koz nilivyoipata najuamwenyewe...
 
Back
Top Bottom