Website ya ccm au hata blog yao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Website ya ccm au hata blog yao

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by tpmazembe, Apr 9, 2012.

 1. t

  tpmazembe JF-Expert Member

  #1
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 2,474
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  UKITAKA KUMTAMBUA MWIZI HUNA HAJA YA KUKAA NAE MIAKA MINGI ANGALIA MAMBO YAKE ANAVYOYAFANYA,YAANI HATA KAMA KAVAA SUTI USISHANGAE KUONA HAJAFUNGA ZIPU AU KASAHAU MKANDA.
  EMBU JARIBUNI KUTEMBELEA WEBSITE YA CHAMA CHA MAPINDUZI(CCM)Website Rasmi ya Chama Cha Mapinduzi - CCM UIONE ILIVYO NA UPDATE ZAKE,HUWEZI AMINI KAMA HIKI NDICHO CHAMA CHENYE MAMILIONI YA WANACHAMA NA KINAPOKEA MABILIONI YA RUZUKU,YAANI HAKUNA CHA UPDATE WALA NINI HATA KIJANA TU WA KUUPDATE BLOG HAWANA,MAANA MAMBO YAO WAMEZOEA KUFANYA CHUMBUNI CHINI YA UVUNGU. KWANZA MUONEKANO WAKE TU NI MSHANGAO.
   
 2. t

  tpmazembe JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 2,474
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Du ! Ni noma
   
 3. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #3
  Apr 9, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Updates zinafanyika kwenye wall ya Fb ya Nape.
   
 4. S

  Sobangeja Senior Member

  #4
  Apr 9, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 184
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Ni hatari!!!!!!!!! kwani hata ya Mh Lusinde Livistone akimwaga sera wameshindwa kuiweka!!!!!!!!
   
 5. nxon

  nxon JF-Expert Member

  #5
  Apr 9, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,149
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  kwenye kuchakachua wako up to date hao...!
   
 6. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #6
  Apr 9, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,257
  Trophy Points: 280
  Makamao mwenyekiti Karume!!
   
Loading...