Programmer/devloper wa tanzania mpo? Microsoft inawalipa watengeza app | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Programmer/devloper wa tanzania mpo? Microsoft inawalipa watengeza app

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mtazamaji, Apr 9, 2012.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Apr 9, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Yes inaezekana wapo watanzania wenye appp zao kwenye masoko ya Adroid na Ios.Lakini kwa tathmini ya haraka haraka sidhani kama zinafanya vizuri katika mauuzo .

  Kilichonifanya nirushe huu uzi ni aada ya kusoma hapa computer world na hapa dailytech . So nikahisi kama kuna mtanzania/Watanzania aukampuni wana idea ya app na yupo developer anayweza kutegeza app basi gharma ya kufidia muda wa kutengeza appp inaweza kugharimiwana microsoft tofauti na kwenye android/iOS inabidi urudishe gahara zako through mauzo

  The only challenge hapa ni kuwa na idea ya app ambayo nadhani inaweza kuwa Usable kwa mazingira yetu afrika.Nadahni ukifanikiwa hilo unaweza kudaka mshiko wa microsoft.

  Sijui maprogrammer mnasemaje . Binafsi nina some ideas lakini sio programmer mzuri teh teh teh. Wooooow mtazamjis app can crash any any Ios or andridphone
   
Loading...