Airtel 3.75 ~ gprs,edge? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Airtel 3.75 ~ gprs,edge?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Lussadam, Apr 5, 2012.

 1. Lussadam

  Lussadam JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 13, 2007
  Messages: 1,051
  Likes Received: 386
  Trophy Points: 180
  jamani tangu hawa jamaa watuambie kuwa wanamitambo ya 3.75G mbona muda wote inakuwa edge au gprs? kuna haja gani ya kuendelea kuwatumia wakati inachukua zaidi ya dakika 10 kufungua page moja? nikimaliza hizi 400MB naiweka kabatini sim ya airtel mpaka itapokaa sawa
   
 2. M

  Megawatt B JF-Expert Member

  #2
  Apr 5, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Biashara Matangazo!
   
 3. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #3
  Apr 5, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,356
  Trophy Points: 280
  Wanaboa, bora voda hawajisifu lakini wanapiga kazi vizuri mpaka ninawakubali.
   
 4. Zemu

  Zemu JF-Expert Member

  #4
  Apr 5, 2012
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  duuuu mi nilifikiri kwangu tu kumbe ni watu wengi, mi naona afadhali ya mchana yaani usiku ndio kono kono kabisaa, sijui hio 3.75G ni ya nini.Shida ya voda gharama sasa duuuuh.
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,151
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Kuanzisha project ya 3.75G si mchezo,mie nilijua tangu mwanzo kwamba wanawaibia wadanganyika,3.75G ni technology na sio VAS ambao kujiunga unabonyeza code flan,tcra mpo wapi? Wamesoma halama za nyakati wangesema 4G mngestuka! Kwanza hawana lisence ya kurusha 3.75G.
   
 6. nxon

  nxon JF-Expert Member

  #6
  Apr 5, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,149
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  true ipo mdogo mdogo kinoma!
   
 7. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #7
  Apr 5, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Nadhani 3.6G ndiyo ipo hewani kwa sasa
   
 8. paty

  paty JF-Expert Member

  #8
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,251
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  hawa jamaa wa airtel hakuna kitu
   
 9. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #9
  Apr 5, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Inategemea na eneo ulilopo na aina ya simu. Kama simu yao haisupport 3G then hapo lazima utasurf kwa kutumia GPRS edge. Pia inategemea na eneo ulilopo. Mara nyingi kwenye remote areas huwa hakuna 3G.
   
 10. IrDA

  IrDA JF-Expert Member

  #10
  Apr 5, 2012
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 638
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  jamani mbona airtel mnawaonea bure....spidi yao kwa maeneo mengine inafika hata 3.4mbps
   
 11. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #11
  Apr 5, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  hiyo minara ya 3.5 au 3.7 waliifunga lini?
   
 12. ProBook

  ProBook JF-Expert Member

  #12
  Apr 5, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 455
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  bado sijaona hyo 3.75..nadhan ata ni 2G
   
 13. achengula

  achengula JF-Expert Member

  #13
  Apr 5, 2012
  Joined: Jul 30, 2009
  Messages: 386
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  kwa nini speed itofautiane kulinga na eneo, mfano mtu aliye karibu na mtambo wa Dar na yule wa Kigoma. Kazi ya minara ni nini? Nilidhani minara yote inatoa speed sawa na tofauti iwe ni umbali kutoka mnara ulipo na si location ya mnara
   
 14. Eros

  Eros JF-Expert Member

  #14
  Apr 6, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 315
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 60
  Nina wiki ya pili sasa nimeifungia kabatini, kifupi haifai kwa sasa,warekebishe.
   
 15. s

  sajolin Member

  #15
  Apr 6, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani nisaidieni hyo 3G ni nini kwani?
   
 16. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #16
  Apr 6, 2012
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
 17. Hercule Poirot

  Hercule Poirot JF-Expert Member

  #17
  Apr 7, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 1,196
  Likes Received: 463
  Trophy Points: 180
  Nilitaka kuanzisha thredi kama hii kuwalalamikia manyangau wakubwa AIRTEL kumbe na wengine mumo niljua maeneo ya kwetu huku mwisho wa dunia...senz kabisa et 3.75G wizi mtupu
   
 18. G

  Gunnicus G Member

  #18
  Apr 7, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  walijua wabongo wanapenda v2 rahc na vya hali ya juu wale wahindi wazushi
   
 19. Lussadam

  Lussadam JF-Expert Member

  #19
  Apr 7, 2012
  Joined: Oct 13, 2007
  Messages: 1,051
  Likes Received: 386
  Trophy Points: 180
  Hapa nipo city center na ninatumia laptop na si simu. So suala siyo sehemu niliyopo wala device ninayotumia. I used to get WCDMA au HSDPA kabla ya wimbo wa 3.75G haujaanza
   
 20. muuza ugoro

  muuza ugoro JF-Expert Member

  #20
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 348
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  bora hat nimepitia hapa. juzi nimegawa modem yangu ya voda coz ilikua inazngua installation, sasa j4 nlikua nataka nikanunue ya eateli, kumbe nayo uzush m2pu?
   
Loading...