DCONSCIOUS
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 1,269
- 473
Kwa yoyote anaye jua ubora ua mapungufu ya Android 2.2 kunamtu anataka kuniuzia lakini sijui hata bei yake dukani na uzuri wake kiundani plz anae jua anisaidie kuijua vizuri nisije kuingia kichwa kichwa.