danmarc
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 575
- 146
wakuu mi c mtaalam wa haya madudu nahitaj kueleweshwa.kwa bahati mbaya nilifuta channels zote ktk dish . nilikuwa nashika channels za kibongo na nyingine kama ndtv hindu ,aljazera,cctv,znbc, na zingine .baadaye nilifanikiwa kuzirudisha itv,capital,eatv ,tvm. lakini tbc,star tv na hzo aljazera,ndtv,cts,znb2(68E) zimekataa licha ya kuingiza parameters kwa usahihi na dish halikutingishwa. msaada wenu kama kuna setting zaidi ya hapo. pia naombeni maujanja ya kupata channels ktk satellite zingine upande wa east