Kuzima kwa pc ghalfa

Kuzima kwa pc ghalfa

KENTUS

Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
88
Reaction score
8
Please naomba msaada pc yangu huzimika ghafla ninapochomeka modem ya voa,zain na tigo ila nikitumia modem ya zantel haizimiki. Tatizo laweza kuwa nini wataalamu? Msaada wenu please
 
Please naomba msaada pc yangu huzimika ghafla ninapochomeka modem ya voa,zain na tigo ila nikitumia modem ya zantel haizimiki. Tatizo laweza kuwa nini wataalamu? Msaada wenu please

Tatizo hilo hutokea mara unapochomeka modem tu au wakati gani?
 
ndio pale ninapochomeka modem tu ya voda,airtel au tigo huzimika sekunde hiyohiyo
 
yap! hutokea pale ninapochomeka modem ya voda,airtel na tigo. yaan sekunde hiyohiyo pc hujizima kwa kukata moto utafikili tanesco wamekata umeme.
 
Back
Top Bottom