habari wana jf, kuna jamaa yangu amepangiwa kikazi singida wilayani Iramba. toka aende huko hajawahi kuangalia tv. swali ni kwamba je ni aina gani ya king'amuzi anachowezaa kutumia huko? au ni...
Wataalamu naomba msaada kwa hiki suala kwani natumia cheka net ya siku na napata edge, lakini ikiisha na ikawa free charge basi inachange na kuwa 3G. Ni sawa au kuna setting inabidi nifanye?
I have a lock code on my phone Nokia N8 but for some reason when turning it on the other day it doesn't accept my code anymore. It comes up with "Code Error". I am definitely putting it in...
Kuna jamaa yangu anatumia laptop aina ya sony, ina tatizo la baadhi ya key pad zinagoma ku type na mara nyingine ukibonyeza herufi M ina ina type herufi nyingie tofauti. Wataalamu wa mambo ni...
Nokia
has filed for a patent of the worlds first vibrating tattoo. Taking haptic feedback the technology behind vibrations when you touch your phone to a new level, the company is embedding...
Wataalam naombeni msaada kama kuna mtu anayo link ya hiyo software hapo juu naomba anisaidie ni kwa ajili ya kuitumia kurecover deleted file kwenye hard drive pamoja na kwenye memory card...
Jamaa naona wameshemsha! Ushindani ni mkubwa sana sana. Nawashauri ndugu zangu wenye hiyo miche wahamie android au iphone, tunawakaribisha!
BBC News - Blackberry-maker RIM reports $125m loss
BBC -...
Jaman na wana jf kama kuna mtaalaam wa bb phon anpe techniques za kujiunga na internet bila kununu bandle za makampun. Nataka niweze kutumia net hata kama nanunua mb 50 tu na syo zile za macampun...
Wakuu mambo vp? Niko hapa kuwauliza wataalamu wa simu kati ya hizo hapo juu ipi ni bora kuliko nyingine na kwa kuhusu bei Nokia inauzwaje na Samung inauzwaje?
Mimi ni mteja wa tigo toka mwaka 2000 nilipojiunga kwa mara ya kwanza enzi zile za mobitel. Hivi karibuni nimekuwa nikipata bugudha kubwa sana kwani nimekuwa nikitumiwa mimeseji kibao toka kampuni...
Wakuu naomba mnisaidie jinsi ya kuburn audio cd ambayo inaweza kuplay kwenye Audio cd deck yoyote. Kuna ambazo niliburn kipindi fulani hv huwa hazisumbui kuplay lakini juzi juzi hapa niliburn...
hivi wadau kuna utaratibu wowote unaosimamia upitishaji cables baharini, maana wengine wanapitisha cable za umeme, wengine mawasiliano, wengine mabomba ya gesi na mafuta. je kuna utaratibu wowote...
Heshima MBELE wakuu.
Mwenye Joiku spot ya kuweka kwa BlackBerry 9000 , nahitaji sana wakuu au kuweka kwenye Laptop,
Kwa heshima watakaonipa woote wabarikiwe
idondoshe hapa nitaipata na key zake...