Kenwood superwoofer inananitatiza!!!..

Kenwood superwoofer inananitatiza!!!..

Asango

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
234
Reaction score
25
wataalamu naomba mnisaidie,nina kenwood ambayo ni ya bass tu,na inatoa line moja sijui mnaitaje.shida yng hasa nataka iwe inatoa stereo.niliwahi kupeleka kwa fundi akaniambia anaweza kunitengenezea kwa elfu 45 baadaye akaingia mitini wala hata hakuifungua.nitaiambatanisha wakuu wng.
 
WOOFER siku zote ni MONO lakini unajua maana ya Stereo?
 
wataalamu naomba mnisaidie,nina kenwood ambayo ni ya bass tu,na inatoa line moja sijui mnaitaje.shida yng hasa nataka iwe inatoa stereo.niliwahi kupeleka kwa fundi akaniambia anaweza kunitengenezea kwa elfu 45 baadaye akaingia mitini wala hata hakuifungua.nitaiambatanisha wakuu wng.

Jifunze kwanza Stereo ni nini. ukijua hutafanya unachotaka kufanya.
huyo fundi wako pia ajiunge na darasa la kwanza akihitimu darasa la nne atagundua kuwa fani yake hasa ni kushona viatu
 
super woofer/subwoofer ni mono sound zenye uwezo wa kufikia low frequene db ambazo haziwezi kufikiwa na speaker za kawaida kama vile bass reflex au loud speker,cover yake ni maalumu for bass panch na hata aplifaya yake.hivyo huwezi kuifanya ikawa na sterio labda uifumue hiyo ampl iwe ni bi-ampl. Kama vp niuzie kama huitaki.
 
wataalamu naomba mnisaidie,nina kenwood ambayo ni ya bass tu,na inatoa line moja sijui mnaitaje.shida yng hasa nataka iwe inatoa stereo.niliwahi kupeleka kwa fundi akaniambia anaweza kunitengenezea kwa elfu 45 baadaye akaingia mitini wala hata hakuifungua.nitaiambatanisha wakuu wng.

Hiyo superwoofer huwa inakamilika ikiwa na subwoofer lakini ikiwa yenyewe ni vurugu tu
 
Back
Top Bottom