Msaada jamani Cd haitoi Sauti kwenye Deck

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
841
133
Nimeburn CD
Cha kushangaza haitoi sauti kwenye Deck ila kwenye Compyuta inatoa
je hili tatzo ntalitoaje?
Msaada plz wakuu
 
Mkuu wakati mwingine deki za kichina zinasumbua sana, zinachagua sana cd
Subiri wataalamu zaidi
 
Kama remote ina button ya audio uibofye na kutatokea maneno ambayo ni 'left','right','stereo' n.k kutegemea na aina ya deck hafu chagua moja baada ya nyingine na uipe ok. Utakapoipatia sauti itaanza kutoa. Km audio button haipo angalia button iliyoandikwa L/R ui 'click' ama bofya huku ukisikiliza sauti kila single click na km hiyo haipo nenda setting na ufanye configuration ya sound/audio kufuata procedure no. moja. Ikishindikana yaweza kuwa waya mmoja wa sauti haufanyi kazi kama si tundu mojawapo na hivyo sauti inatoa kwenye tundu 1 pekee.
 
Kama remote ina button ya audio uibofye na kutatokea maneno ambayo ni 'left','right','stereo' n.k kutegemea na aina ya deck hafu chagua moja baada ya nyingine na uipe ok. Utakapoipatia sauti itaanza kutoa. Km audio button haipo angalia button iliyoandikwa L/R na km hiyo haipo nenda setting na ufanye configuration ya sound/audio kufuata procedure no. moja. Ikishindikana yaweza kuwa waya mmoja wa sauti haufanyi kazi kama si tundu mojawapo na hivyo sauti inatoa kwenye tundu 1 pekee.
 
Back
Top Bottom