Return your lost phone...

tumlack

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
675
49
kwa kutumia hii apps ya netqin antvirus utaweza
1.kudelete data zko zte ktk cm yko iliyo ibiwa,include photo,video,contact,sms na music.
2.utaweza kupata namba ya mtumiaji wa cm yko iliyo ibiwa..yaan pale tu lain itakapo bdilishwa bac utapata kujua namba ya mtu anaye tumia cm yko..so ukiamua unaweza kumpgia na kumpga mkwara ili arudshe cm yko.
3.pia utaweza ku trace cm yko na kujua location husika..
4.pia utaweza ku send command ya block simu yko.
Ingia netqin.com
PAXAKA NJEMA JAMAN!
 
Hii ni kwa ajili ya smartphones tu zinazotumia operating system ya Symbian, Windows Mobile, Android na Blackberry
 
ni kwa simu zote hata toChi! Kuna jamaa yuko tigo. Unampa namba yako tu. Anakupatia ndani ya lisaa. Kwa sababu ile sehemu ya kukaa sim card ndio kuna records zote za sim cards zinazowekwa kuanzia inaponunuliwa!
 
kwa kutumia hii apps ya netqin antvirus utaweza
1.kudelete data zko zte ktk cm yko iliyo ibiwa,include photo,video,contact,sms na music.
2.utaweza kupata namba ya mtumiaji wa cm yko iliyo ibiwa..yaan pale tu lain itakapo bdilishwa bac utapata kujua namba ya mtu anaye tumia cm yko..so ukiamua unaweza kumpgia na kumpga mkwara ili arudshe cm yko.
3.pia utaweza ku trace cm yko na kujua location husika..
4.pia utaweza ku send command ya block simu yko.
Ingia netqin.com
PAXAKA NJEMA JAMAN!

mie na2mia nokia 3120 classic vp itawezkana
 
ni nzuri sana,hata mi ndio nai2mia,na kuna ile M-guard kwa ku block namba zote za simu ambazo hutaki wakupigie,muda wote ataambiwa simu ipo busy.
 
Hii ni kwa ajili ya smartphones tu zinazotumia operating system ya Symbian, Windows Mobile, Android na Blackberry
ntajuaje phone yangu ni Symbian, Android etc? mi natumia nokia X2 je iko category gani?
 
Sasa hyo software unainstall kwenye simu yako au computer? Je kama kwenye simu je mtu akiiflasha si ataiondoa hyo software? Na kama kwenye cmp kuna connection zipi hapo?
 
Back
Top Bottom