natafuta fundi wa ku install satelite dish now!!!!!!!!!!!!!>

natafuta fundi wa ku install satelite dish now!!!!!!!!!!!!!>

Blessed Keinerugaba

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
4,789
Reaction score
4,834
NINAISHI kimanga karibu na shule ya kisukuru/mahakma bar...natafunda wa kazi hiyo mwenye uwezo wa kunisaidia nifanikishe hilo anitumie private message please(PM) ninaihitaji haraka mno......
 
but ulikonunua hilo dish ungepata mafundi,check na huyu dogo anaitwa Salmu anaweza kukusaidia tatizo lako,no 0713575423
 
NINAISHI kimanga karibu na shule ya kisukuru/mahakma bar...natafunda wa kazi hiyo mwenye uwezo wa kunisaidia nifanikishe hilo anitumie private message please(PM) ninaihitaji haraka mno......[/QUOTE]

MPIGIE MUNIR : 0658900008 ; ANAPATIKANA BUGURUNI
 
Back
Top Bottom