Hili jukwaa wamelitoa?

Hili jukwaa wamelitoa?

g.n.n

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
407
Reaction score
49
Habari wakuu?
Hivi jukwaa la Joke/utani wameliondoa maana silioni
 
g.n.n mbona lipo,bonyeza sehemu iliyo andikwa jukwaa la sports ndipo utaliona hapo ndani,unaonesha ni newcomer.
 
g.n.n mbona lipo,bonyeza sehemu iliyo andikwa jukwaa la sports ndipo utaliona hapo ndani,unaonesha ni newcomer.

ujue nini mwanzoni lilikuwa hapo kwenye home page ila shukran nimeshaliona.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom