msaada: simu imezima na imegoma kuwaka..

msaada: simu imezima na imegoma kuwaka..

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,146
wakuu natumia nokia 2700 classic, muda mfupi uliopita ilistack wakati naandika sms, alafu ikazima...nimejaribu kuiwasha imekataa.
NB: wakati inazima betri ilkuwa full, naomba msaada wenu
 
wakuu natumia nokia 2700 classic, muda mfupi uliopita ilistack wakati naandika sms, alafu ikazima...nimejaribu kuiwasha imekataa.
NB: wakati inazima betri ilkuwa full, naomba msaada wenu

Labda ina omboleza the demise of Kanumba! So sad!
 
Hebu toa betri kwa dakika chache halafu urudishe ujaribu kuwasha kama hujafanya hivyo....
 
iweke kwenye chaji huenda inasikia baridi,ibust kidogo!
 
Labda ina omboleza the demise of Kanumba! So sad!

ingekuwa tunalipa kwa kila post tunayoandika kama ilivyo kwa sms za simu, sidhani kma ungeandika ulichokiandika
 
Back
Top Bottom