Dish

Dish

brian360

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
224
Reaction score
34
Jaman Nimekuta DSTV Dish limehamishwa sehemu ile lilipokuwa na wakasema ilikuwa inaonesha vizuri na ilipoisha Bill hawakuilipia nimerudi xaxa hata ile free channel (100) haionesh xaxa tatizo ni nin?
 
xaxa ndio nini hiyo andika vizuri nieleweke..
 
Mbona unaandika kama umelewa! Kama unataka Dstv ni kiasi cha ku-install dish lao na kulipia package yao kwisha. Nini tena.?
 
Back
Top Bottom