Ndio! Factory settings inairudisha simu yako kuwa na features zile ilizotoka nazo kiwandani. Sio tu itaondoa apps, pia itaondoa logs zote za messages, calls, data n.k., pia themes. Kwa upande wa media files itategemea na media uliyotumia kuzihifadhi i.e. kama ipo kwenye mem card haitaondolewa