Heeelp....phone restricted!! Enter restriction code... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Heeelp....phone restricted!! Enter restriction code...

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by sijui nini, Apr 10, 2012.

 1. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Ni nokia 6233, nikiweka line ya airtel inanipa maneno hayo inapowaka tu kabla hata haijamaliza so i cant do anything..cha ajabu line hii nikiweka kwenye simu nyingine inafanya kazi vizuri tu na mimi nikiweka line zingine za voda tigo au zantel zinafanya kazi vizuri, halafu sasa kuna mda hii ya airtel inakubali bt ikikaa kama dk 10 hivi inaji lock tena ikitoa maneno yale yale ya phone restricted. nimejaribu kuchange line ya airtel kwa kuweka line mpya nayo ni hivyo hivyo, nimeomba line ya mtu amaetumia airtel nayo ni hivyo hivyo sasa sijui tatizo ni simu au nini,,na kama ni simu mbona line nyingine hazina shida kabisa na kama ni line mbona kwingine znafanya kazi bila shida...nimejaribu code mbalimbali kama PIN,PUK, zile za 000 na 123 na nyingine nyiiingi tu zote zinagoma....PLIIIZ NISAIDIANE KWA AJUAYE NIFANYEJE...KABLA SIJAUPITISHA UAMUZI WANGU WA KUNUNUA SIMU MPYA!!
   
 2. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,972
  Likes Received: 429
  Trophy Points: 180
  Ina SIM\Network Lock ili uweze itumia hapa Tanzania unaitaji kununua unlocking code ambayo ni kama dola 50
   
 3. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #3
  Apr 10, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  mhh..sasa naanza kupata mashaka...hii simu ilikuwa inakubali line zote bila shida, nilitumia sana hii line yangu ya airtel kwa muda mrefu tu bila ishu yoyote mpaka pale ilipokuja kuharibika charging system na nikampa mtu anipelekee kwa fundi...ikakaa huko siku moja kurudi nikaona iko tofauti sana...kwanza haina tena calculator wakati ilikuwa nayo hapo kwanzam halafu picha ukipiga inatoa mbaaya kuliko hapo mwanzo na sauti iko chini mno nikpiga au kupigiwa simu ni mpaka niweke loud speaker ndo angalau naskia kwa mbaali...bila loud speaker siskii kitu halafu sasa leo ndo nimejaribu kuweka line yangu hii ya airtel tena ndo nimegundua na hili..je kunauwezekano ikawa mafundi wamenichezea mchezo? maana ninauhakika simu yangu ilikuwa safi hapo mwanzo (ni original nokia) mpaka hapo nilipoipeleka kwa fundi???
   
Loading...