Je, kuna ukweli katika hili (uhusiano wa 'torch' za trafiki na 'wipers')?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, kuna ukweli katika hili (uhusiano wa 'torch' za trafiki na 'wipers')?!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by The FaMa, Apr 12, 2012.

 1. The FaMa

  The FaMa Senior Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wakuu, kuna madai niliyoelezwa na dereva tax mmoja kuwa, et ukiwa unaendesha gari spidi zaidi ya inayotakiwa mahali fulani (mfano 30km/hr) na ghafla ukawaona Askari Usalama barabarani (Traffic) wakakupiga ile 'torch' ya kupima/ku-detect speed yako, ili wasikukute na kosa la over-speeding, unawasha zile 'wipers' haraka na kuzima huku ukipunguza mwendo kwenye spidi inayotakiwa!

  Eti ukifanya hivyo, kama ile torch ilishasoma mwendokasi wako, basi hizo wipers zinafuta ile spidi kwenye torch!!

  Je, wataalamu kuna ukweli katika hili? Kama ndiyo, uhusiano ukoje?

  Nawasilisha.
   
 2. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Nenda traffic waulize watakupa majibu sahihi
   
 3. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Interesting. Vipi kama kuna speed camera ambayo ni static?
   
 4. The FaMa

  The FaMa Senior Member

  #4
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ahsante!!
   
 5. Mad Max

  Mad Max JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 3,433
  Likes Received: 422
  Trophy Points: 180
  hapana kaka,
  Ile ni maneno ya mtaa tu.
  ile kitu unawork under Doppler effects, physics grade 17th.
  kile kitorch kinatoa some wavelength (w.l 1) zinaenda kutana na gari linalokuja speed, zinakua reflected back hizo wave na znakutana na tochi tena. hapo torch automatically ina detect speed ya gari.
  so wipers got nothing to do. coz hizo wavelength sio lazima zigonge kioo tu..
   
 6. The Pen

  The Pen JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 764
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Labda huyo jamaa aliyekueleza amefuata tafsiri ya neno "wiper"! Lkn hii ya gari inafuta maji, sijui km inafuta na kasi ktk hiyo tochi pia.
   
 7. The FaMa

  The FaMa Senior Member

  #7
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Poa, Mkuu. Hata mimi nafahamu hivyo juu ya mambo ya wavelength, frequences, velocity of the source na velocity of observer etc...kupata velocity ya gari (namkumbuka Mwalimu wangu wa Tuition ya Physics A-level, Mr. Machaga, enzi hinzo). So, nilipopata hiyo story ndo nikaona niulize kwa Wakuu humu, huenda kuna ka ukweli, si unajua binadamu huwa wajuzi wa mambo.

  Anyway, thanx kwa maelezo/ufafanuzi wako.
   
 8. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #8
  Apr 12, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 160
  I once heard kuwa ukiwaona wanakupiga tochi shift transmission to neutral, hawataweza ku detect speed yako.

  Nilivyojaribu ikala kwangu! Na buku tano wakasepa nayo jamaa wa kabuku.

  Hizi theories sijui watu wanazitoaga wapi!
   
 9. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #9
  Apr 12, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Hahahaa, hii imenikumbusha hii JOKE hapa chini......


  A Polish man married a Canadian girl after he had been in Canada a year or so and, although his English was far from perfect, they got on very well. Until one day he rushed into a lawyer's office and asked him if he could arrange a divorce for him-"very quick".
  The lawyer said that the speed of getting a divorce would depend on the circumstances and asked him the following
  questions:

  LAWYER: Have you any grounds ?
  POLE: JA, JA, an acre and half and a nice little home with 3 bedrooms.
  LAWYER "No," I mean what is the foundation of this case?"
  Pole: "It is made of concrete, brick and mortar," he responded.
  LAWYER: "Does either of you have a real grudge?"
  POLE: "No," he replied, "We have a two-car carport and have never really needed one."
  LAWYER "I mean, What are your relations like?"
  POLE: "All my relations are in Poland."
  LAWYER: "is there any infidelity in your marriage?"
  POLE: "Yes, we have hi fidelity stereo set ?DVD player with 6.1 sound. We don't necessarily like the music, but the answer to your questions is yes."
  LAWYER: No, I mean Does your wife beat you up?
  POLE: NO, I'm always up before her.
  LAWYER: Is your wife a nagger?
  POLE: NO, she white.
  LAWYER: WHY do you want this divorce?
  POLE: SHE going to kill me.
  LAWYER: What makes you think that?
  POLE: I got proof.
  LAWYER: What kind of proof?
  POLE: She going to poison me.She buy a bottle at the drug store and put on shelf in bathroom. I can
  read - it says, "Polish Remover".
   
 10. The FaMa

  The FaMa Senior Member

  #10
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mkuu umeona eeh, yani kuna theories za ajabu ukizifikiria ukweli wake hata hupati ideas!
  lakini, who knows, huenda ikawa na ukweli!
   
Loading...