Fifa 2012

Fifa 2012

wadau hebu tafu nataka kudownload fifa 2012 mwenye detail zozote anipe wadau

ukiwa kwenye internet ya kompyuta yako andika "thepiratebay.com" ikishafunguka tafuta sehemu iliyo andikwa "download u-torrent" (kwamaana huwezi kudownload kitu chochote kwenye hii website bila hii program) ukisha download iingize kwenye kompyuta,rudi tena kwenye thepiratebay utaona sehemu ya kusearch andika fifa 2012.ikitokea tafuta iliyo andikwa game kisha bofya"GET THIS TORRENT"itaanza kujidownload yenyewe .
 
Back
Top Bottom