TCRA mko wapi mbona Ting wanaleta uhuni!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TCRA mko wapi mbona Ting wanaleta uhuni!!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by white wizard, Apr 11, 2012.

 1. w

  white wizard JF-Expert Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  kulingana na sheria ambayo inawalazimisha hawa wenye makampuni yanayotoa huduma ya ving'amuzi hususani(TING)ni kwamba utakapolipia yale malipo ya mwezi ambayo ni elfu kumi,utaona local chaneli zote zilizo kwenye package yao(tbc1,itv,chanel ten,star tv, Atn,na clouds tv)na nyingine za nje.Sasa cha ajabu ukiacha kulipa hayo malipo ya mwezi,sheria inasema wao watakuwa na haki ya kusitisha we kuona zile chanel za kulipia kama sentanta afrika,cnn,muv tv nk.sasa wao wanakata hata Atn na clouds tv!hazo huwezi kuona hadi ulipie!achilia mbali aljazeera,press tv japo nazo ni ft(flee 2 air)nazo wanazifunga!na juzi kwenye kipindi cha malumbano ya hoja itv,walisisitiza kuwa chaneli zote ambazo ni FT,ziwe zinapatikana muda wote,wao watakukatia zile ambazo ni za kulipia 2,sasa toka lini Atn,na clouds tv zimekuwa za kulipia,wakati kwa wakazi wa dar wanazipata kwa kutumia antena za kadawa?na majuzi niliwapigia simu hawa tcra,kulalamikia hili suala,cha ajabu nao wanashangaa kama ni kweli wanafanya hivyo!mi ndio huduma nayoitumia,baadaye wakasema ngoja walifuatilie kama ni kweli eti nao hawa jui!Huu mfumo wameudandia 2 bila maandalizi ya kutosha,na nyie ngojeni ifike hiyo dec 31,patakuwa hapatoshi,itakuwa mvulugano tu.hata haya makampuni bado hawajajiandaa,mf. Hawa TING,unalipia cku 30,lakini unaweza kuona ikiwa imetulia labda siku 15!cku nyingine zote signal weak,na hapa ni maeneo ya dar!wito wangu kwa ambaye hajajiingiza huko bora asubiri ili ushindani wa haya makampuni uongezeke,na huduma wataboresha,ili mtu uwe na chaguo zuri.
   
 2. BAOSITA

  BAOSITA JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2012
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 370
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Keep it short next time Wizard!
   
 3. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #3
  Apr 11, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,566
  Likes Received: 18,529
  Trophy Points: 280
  WWZD, huo utaratibu unaanza 01/01/13!.
  Huwezi kuuliza TCRA mko wapi as if hao TCRA ni clients hivyo they are watching every home!.

  TCRA sio wateja bali wao ni regulators, hayo makampuni pia sio wateja, hayo ni service providers, mteja ni wewe!.

  Ili TCRA iwashughulikie hao Ting, wewe mteja lazima ulalamike kwa TCRA kwa kujaza complaints form na kui submit TCRA, na sio kulalamikia hapa Jf!.

  Labda kama una malalamiko dhidi ya Ikulu au unamalalamiko dhidi ya JK au TISS ukiyaweka humu, yatafika!
   
 4. A

  Aura reader Member

  #4
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hilo tatizo la TING alilolisema White Wizard hata mimi ninalo tena kwangu linahusiana na ubora wa Sauti kwenye Decorder yao aina ya AAL 2 ambayo niliinunua ili kurekodi lakini ni bomu tuu! Nimesha kwenda TING makao makuu mara nyingi na wameshindwa kabisa kutatua tatizo langu mpaka sasa na ushahidi mzito ninao. Naomba minielekeze huo TCRA ili niende nikajaze hiyo fomu na kutoa kilio changu...
   
 5. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #5
  Apr 11, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Mkuu majibu mengine yanashangaza kidogo, kwani wizard kakosea nini? Mimi naona hatua alizo chukua ni sahihi kabisa, kwanza amefanya jambo la maana kutujuza sisi wana JF, pili kuwapigia simu TCRA ni sawa alitaka hilo swala lijulikane mapema zaidi hizo complaints form zinaweza kufatia baadae. Siyo tabia nzuri kuwafanya binadamu wenzako kama majuha hivi! Kwanza ukisoma alichoandika humu unaona kabisa huyu jamaa ni mweledi katika mambo ya mawasiliano siyo kwamba amekurupuka tu.
   
 6. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #6
  Apr 11, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,577
  Likes Received: 846
  Trophy Points: 280
  @ pasco,
  umekurupuka kujibu hoja ya mwanzisha mada!
   
 7. m

  mlavie JF-Expert Member

  #7
  Apr 11, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 298
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 60
  mie walishanikera siku nyingi sana yani king'amuzi full michosho kila saa picha zinaganda, sometimes channel zingine hazioneshi kabisa siku nzima then kesho yake unaona zinaonekana du we acha tu! waliponimaliza ni ule utaratibu kuwa eti usipolipia mwezi mmoja au hata miwili halafu baadae ukataka kulipia eti ni lazima ulipie yote na ile ya nyuma wakati walikufungia pia ni lazima uende makao makuu ndo watakufungulia sasa check location yao ya makao makuu ilipo!!!
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Digitale bado sana kwa tz hawajajipanga,Startimes kama haujalipia unapata TBC1 tu!
   
 9. Arselona

  Arselona JF-Expert Member

  #9
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 638
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  wote mmekurupuka kwa kununua ving'amuzi vya terrestrial. Na hi ndio shida ya wa2 wa mijini hasa dar mnadhani digital ni kwisha kwa ma2mizi ya sattelite dishes.mmesahau kuwa dstv(digital sattelite tv) ambayo ni digital ina2mia ungo. Mytv, zuku, toptv, skysport,aljazeera, ad sport
  etc ni digital. Nilisha wahi kuwambia mnunue decoder yenye ungo ya ting ambayo ni multiporpuse.wenzenu ha2pati kero za signal mnazopata na hata ziki2kea 2taendelea kupata matangazo kupitia sat zingine.so muwe tayari kulala kwenye vitanda mlivyovitengeneza wenyewe.
   
 10. A

  Adolf New Member

  #10
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 18, 2007
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Star Times hao ndiyo wana shida kubwa mno maana hata ukiingiza vocha bado unaweza kutumia muda mrefu bila kuona kitu na wakati mwingine inakuwa ni kero maana unakuta unaangalia yenyewe inasonya tu hata raha ya kitumia inakuwa hakuna.
  La kushangaza zaidi ukiwapigia simu wanakuambia kuwa wanashughulikia wateja wengine na hii inawe za kupita zaidi ya saa nzima.

  Kwa kweli TCRA wanapaswa kuhakikisha kuwa watumiaji hatuumizwi na haya makampuni.
   
 11. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #11
  Apr 11, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
 12. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #12
  Apr 11, 2012
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
 13. A

  Aura reader Member

  #13
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Cheer up Gurta!!
   
 14. S

  Sambuka JF-Expert Member

  #14
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  POLE ZENU, CHAKUWASHAURI NUNUA DISH FUTI 8 TUNDIKA C BAND PALE KATI (kupata local chnl) pembeni IzUNGUSHIE ma KU BAND, HAHAHAAA UTAONA RAHA hizo PRESSTV, emmanuel tv , MuviTV Nollywood na filam za nigeria 24/7 hata ukiamua UZIANGALIE HADI UCHOKE NA UGALAGALE CHINI sound clear picha clear. Ndo nnayotumia hata cna shida ya hizo vitu na still nipo ktk Digital
   
 15. M

  Mzawa Halisi JF-Expert Member

  #15
  Apr 11, 2012
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 499
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Never give up, Pasco amejaribu kumueleza mtoa mada kuwa kuna taratibu za kufuata ili malalamiko yawe rasmi.
   
Loading...