swali

swali

Skillseeker

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2012
Posts
225
Reaction score
34
habari zenu wanaJF,
ninaswali nataka kuuliza. Hivi kuna software ambayo ukiinstall kwenye simu inakuwezesha mtu kutuma message kwa mtu yoyote lakini akiipata aone imetoka kwa mtu ambaye wewe umeweka namba yake. Yani kama mimi nina simu natuma message kwa kaka X na ninafanya message ionekane imetoka kwa mjomba Y pale kaka X anapoipata. hiki kitu kinaexist kweli.....???>..

Je kwenye email address pia kuna hiyo software ya kufanya hivi?
 
Kwa ufahamu wangu mdogo nilio nao hiyo kitu haiwezekani
SMS ukisha ituma mwenye uwezo wa kucheza nayo ni service provider wako, sidhani kama kuna software ya simu inaweza ku control mitambo ya SP wako
 
Back
Top Bottom