Nadhani aina ya Equipment hardware itatatgemea kiasi gani unataka kuachive
Relibility. na kwa harakaharaka vitu hivi vya kuzingatia
Availability/upatikanaji. Kama unataka kutoa huduama amabyo ina 99% uptime then kwenye hardware muhimu server ziwe na
RAID. Vile vile muhimu kuwe na standby
redundant
server ili zilizo online zikizingua
Kibongobongo
redundant/standby power supply kama generatator na UPS za uhakika ni muhimu
Utahitaji server/Hardware na software . Server ni software lakini kwakuwa
performamce nimuhimubasi unahitaji specific hardware kwa server kama
- Webserver. Software unaweza kuutumia Linux OS and Apache for free au Windows pamoja IIS zinahitaj licences… Hardware nazo utazo simika hizi software ipo za HP na IBM lakini nadhani zipoa ina nyingine kama Lightspeed
- Databaseserver . Site nyingi siku hizi ni dynamicnataarifa zakezinahifadhiwa kwenye database .upande wa database engine MysqlServer inapatikana bure Wakati SQL server na Oracle utahitaji mshiko. na hardware maalum za kubea database engine zipo model mbalimbali za HP na IBM Mfano maybe utahitaji server zinazoruhusu clustering
- Domain Controller. Windows server zina kitu inaitwa Active directory.Hiii ni kwaajii ya kusaiadia kufanya management ya account za user waliohost . Linux kuna kitu kinaitwa Samba
- FTP server- Wateja lazima wawe na uwezo waku upload/Dowload files zao. Kutegema na ukubwa wa hosting yako unaweza kuhitaji dedicated server kusimika FTP au server fulani kama Domain contoller hiyo hiyo inaweza kusimikwana Software za FTP server
- Etc .- Kuna vitu vingine vingi kama internet connetcion na mazaga zaga mengine.
Ubora wa equipment unategemeana mahitaji na huduma ya hosting unayotoka na nawalenga watu gani. Kuhost site za Media kama Youtube au Justin.tvau ustrem.tv ni tofauti na vifaa vyaku hostsite kama jamiiofurms.comau techcruch.com
Kwa databsaeserver unatakiwa kutafute sevrer zinazosupport
RAID kwa usalama wa data.za user.Vileve unaweza kutakiwa kuwa na Standby/fallback database server Lakini IBM na HP na range haradardwre zinazoweza kuwa nzuri kwa high performce server niizotaja pale juu
Huko Ulaya nadhani kuna makampuni yanayotoa huduma ya
datacenter amabpo mtu au shirika anaweza kupeleka server zake zikakaa pale kwa usalama zaidi au
akakodi server .Administrators wakabaki kufanya managament remotely tu . matatizoya Physical security na umeme inakuwa ni wajibuwa datacenter provider .Hapa Tanzania Sijui kama kuna kampuni zinatoa hudumaya data center serivice
Altenatively Njia rahisi ya kufanya hosting ni kuwa resseller (Mtu kati)
Haya na wewe tugawie kile unchofahamu