Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,445
As usual mtazamaji is not the greatest tech guru in town but likes to share some tips/tricks and knowleddge about ICT.....
Badaa ya mkwara wa kuanza kwa kimombo nirejee kutumia lugha iliyonipata A++ pekee O level teh teh teh ..
Kwa Wale blog/Tovuti na kwa wanaopenda kujua mambo ya tovuti
kuna nyezo ni viziuri zitumike kupima /kutathmini ufanyazi kazi wa tovuti/blog zetu
Haya wenye blog /tovuti
Na kama zipo nyezo nyingine mnazojua zidodosheni hapa

- Tovuti au blog imekidhi kaisi gani viwango vya kuwezesha kuonekana kwenye mobile?- W3C mobile validator itakupa jibu . Zaidi ya kukupa majibu itatoa mapendekezo ni marekebisho au maboresho gani yanatakiwa kufanyika . nyenzo nyingine za kupima Mobile na tovuti ni mobilereadinesschcker . Kwa Maelezo mengine ya kina na nyenzo nyingine Tembelea site hii ya google .
- Ukurasa wa tovuti au blog unachua wastani wa muda wa kuload- KUna nyenzo nyingi Baadhi ni Iwebtool .Hii ni simplee inakupa feedback ukubwa wa ukurasa fulani na muda unachokua kuload. Pingdom Inatoa uchambuzi na tathamini ya kina zaidi kina zaidi . Keulewa perfrmce ya iko vzizuri au vibaya kiasi gani linganisha matokeo ya tovuti/blog yako na tovuti au blog nyingine. kama jamii forums.com auTechcrunch.com.
- kuna nyezo nyingine kama Yslow . Hii addon inayopatikana kwenye browser maarufu karibu zote inaweza kutumika kuchambua tathmini ya utendaji wa tovuti na kutoa mapendekezo nini cha kufanyauiboresha
Haya wenye blog /tovuti
- mnapata feed back gani kwenye hizo nyenzo????..
- Unajua kwanini imepewa maksi nzuriau kwa nini inapewa maksi chache?
- Je unajua nini cha kufanya
Na kama zipo nyezo nyingine mnazojua zidodosheni hapa