Can I switch from Windows 7 Ultimate to Windows XP professional??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Can I switch from Windows 7 Ultimate to Windows XP professional???

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by wende, Apr 11, 2012.

 1. wende

  wende JF-Expert Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 704
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hi all,
  Please naomba msaada wa hali na mali;
  Je nawezaje kubadili OS ya my laptop ya Windows 7 Ultimate kwenda/kurudi Windows XP Professional?

  N.B
  Originall this Toshiba laptop came with Windows XP Professional. Laptop hii ilikuja ku-collase on daily normal use and after repairing, Fundi alii-upgrade to Window 7 Ultimate.

  I want to go back to my windows XP maana hii version ya windows 7 ni balaa tupu!
  So, how far can I go through?
  Niko mbali na fundi aliye-repair my laptop na sina mawasiliano naye.

  Ahsanteni!
   
 2. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Windows haina njia rahisi (GUI)a kukuwezsha ku downgrade kirahisi. Facility zilizopo ni za ku -ugrade.

  Ku downgrage kurudi kwenye windows XP Just save data zako Format mashine then kisha fanya fresh installation. Utahitaji Bootable CD/DVD ya XP .Au Kama huna utaalaamna huna mudawa kufanya mwenyewena huna CD tafuta fundi mwingine akufanyie fasta.

  BTN

  Hiyo version ya windows 7 ina balaa gani ?
   
 3. wende

  wende JF-Expert Member

  #3
  Apr 11, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 704
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ahsante sana zing,kwa mwongozo wako mzuri! Hii win7 ina features ambazo mi binafsi zinanishinda kabisa kuzitumia.
   
 4. P

  Paul S.S Verified User

  #4
  Apr 11, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,914
  Likes Received: 251
  Trophy Points: 180
  Mkuu kama hutajali, unasababu zozote za msingi kutaka kwenda XP?

  Binafsi siku shauri kabisaaaaaa.....................ulimwengu wa teknolojia unasonga mbele wewe unarudi nyuma....

  Kama unatatizo na Win7 bora uulize usaidiwe jinsi ya kufanya
  , imebaki miaka michache Microsoft waipige chini kabisa kuisapoti win XP
   
 5. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #5
  Apr 11, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  Not bad kama hauko comfortable na Windows 7.Unajua hata microsoft wameongeza support ya XP mpaka 2014.ikifika 2014 then utakuwa huna jinsi maybe itabidi uhamie Windows 8. So ichomoe tu haya mambo sometime watu wanakosea kwa kwenda na "fashion".

  We should always upgrade when its necessary and required not because Microsoft or apple have released their new prodct in the market and are promoting it  Ingekuwani Window Vista ningekubalina na wewa lakini kwa XP hata microsoft wenyewe wanajua ndio maana wameongeza Support yake.Hiyo Windows 7 yenyewe waliwai kuitoa JIkoni baada ya Vista kuchemka.

  Unjaua kwenye IT watu tunakosea sana tunapoafuta teknolojia ya kutatua tatizo baala ya tatizo ndio liamue teknolojia gani itumike. Wengine wameaminsihwa kompyuta ikitumika miaka miwili infaa kutupwa. Basi huko serikalini ndio kila ikittoka OS mpya zinanunuliwa PC mpya . .....
   
Loading...