Printer laserjet 1018 haitoi maandishi.

nimenunua cartitage zaid ya mbili bado inatoa plain. Mwenye ujuzi anisa.die tatizo nini?

chomoa cartrage halafu chukua karasasi nyeupe mkonononi halafu igonge gonge cartrage juu ya karatasi nyeupe utazame inatoa wino? mana nyingi huwa zime ganda wino au wino umeganda ktk vitundu vya kutolea wino ikiwa kama ukii gonga gonga juu ya karatasi nyeupe isipo toa wino ujue imeganda na haifai hata kama ni mpya
 
Prnter head ni nini maana chanzo ni baada ya kubadili fuqqer paper

fuqqer paper ndo nini mkuu. nina printer aina hii mwaka wa 5 sasa - ni hardy sana tatizo hupoteza kumbukumbu na kulazimu kufanya re-installation - jirani yangu aliwahi pata tatizo kama hilo - ngoja ntarudi. Lakini anza na kucheck wino kama ulivyoshauriwa - siku hizi kuna wino unaojazwa mitaani ni hatari sometimes unaweza kukuharibia mashine.
 
Nilikuwa na maana fuser paper. Tatizo ni kuwa wino huo huo ukiweka kwenye printer nyingine ya aina hiyo hiyo unafanya vizuri!
 
pole kwa tatizo hilo. hata mimi nasumbuka na tatizo kama hilo hivyo real mwenye ujanja atusaidie kwani printer yangu haiprint wala kuscane bali inaphotocopy tuuuuu! nimereinstall mara nyingi hadi nimeshindwa hv tatizo ni nini au printer za siku hizi zote ni vimeo toka dukani?????????????
 
Nawashukuru kwa michango yenu. Ktk kuhangaika nili disassemble yote nililivoassemble upya imefanya kazi! Mbarikiwe sana.
 
Back
Top Bottom