ng'wanishi
Member
- Jan 23, 2012
- 34
- 1
Guy's I have been having trouble on how to link a website with a database.I hope I came to right channel. I have been trying for a couple of days without success,I do hope for best from you guys.
lets startfrom hereGuy's I have been having trouble on how to link a website with a database.I hope I came to right channel. I have been trying for a couple of days without success,I do hope for best from you guys.
najaribu kutengeneza database kwa kutumia mysql,hivyo ni local;nikiwa naanza kutengeneza kwenye early stages inaniambia niziunganishe database na website kwa kutumia php hapo ndipo nashindwa kuenedelea zaidi.
<?php
$con = mysql_connect("localhost","peter","abc123");
if (!$con)
{
die('Could not connect: ' . mysql_error());
}
// some code. y
?>
COnnetcion string ya database na web ni ile ile iwe iwe remote au local. Kwenye Php kuna code zinatakiwa ili PHpijuehiyo databasei iko wapi inaitwaje najina lauser mwenyeright ya kuconnect
PHP:<?php $con = mysql_connect("localhost","peter","abc123"); if (!$con) { die('Could not connect: ' . mysql_error()); } // some code. y ?>
Kwa mfano huu hapo juu
- "localhost" ndio jina la mashine/srver ilipohifadhiwa database . Mfano huu databse nako iko local (localhost:3306)
- "peter" nijina lauser mwenye acess kwenye serveri naezekana kwako ikawa ni ni root
- "abc123"ni password ya user mwenye acess na rights kwenye databse/server .
Itakuwa vizuri uandike hiyo error kama inavyotokea au jaribu kuigoogle
Kaka vp kusuhu php? Nimejaribu kudownload kutoka PHP: Hypertext Preprocessor lakin nashindwa jinsi ya kuinstal,kuna web ambayo naweza ipata kirahisi maana hii ndo inakwamisha safari yangu.
Njia simple ulitakiwa kuistal WAMP au XAMP nasiodatabase kivyake naPHP kivyake
Uzuri wa hizi n package(WAMP au XAMP) zikoz ikiwa na Dataase na webserver. so hutakuwana usmbufu wa configurationsna set up na mambo ya path.
Kusimika PHP tofauti utatakiwa kujua jinsi ya kufanya some configuration na set up. Vilevile version ya php na Mysl sometime muhimu . Utahitajiaka pia kuingiza manualy pathh za Data files na .ini files za Php/Mysql Ini . Vesrion za PHP zote ziko hapa
So chomoa hiyo Mysql install full package ya WAMP au XAMP