Nisaidieni nitumie moderm yangu

Nisaidieni nitumie moderm yangu

Muhubiri

Senior Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
140
Reaction score
120
Nisaidieni natumia moderm ya VODACOM zile za toleo la kwanza, na computer yangu ni Dell na window 7, nataka nitumie pia kwa airtel na tigo, nilikuwa naweza kutumia nilipokuwa natumia window XP, kwa kuinstal 3connect software.
 
asanten nimekuapata ngojannifanyie kazi
 
Back
Top Bottom