Web designers naomba assesments zenu kwa hii site yangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Web designers naomba assesments zenu kwa hii site yangu

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Kizzy, Nov 11, 2011.

 1. K

  Kizzy Member

  #1
  Nov 11, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wataalamu wa website design naomba constructive ideas about my site home page,
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Hongrea mkuu mimi assement zangu ni hizi bila kufuta mtitririko lakini kumbuka mi sio mtaalam sana nayonadika ni kutokana nayosoma soma.

  KIZZY WEB STUDIO-
  Hii ndio umechaguakuwa tiittle. Naona kuna utata kwenye ujumbe. Mtu yeyote atyeona tiitle hii atajua wewe unajihusiha na mambo ya web lakini inaonekana dhumuni lako kuu ni kujihusiha na mambo ya designing.(Mpaka logo,Online marketting , etc) May be ungeipa tiitle ya KIZZY CREATIVE STUDIOS, au KIZZY CREATIVE DESIGN ( KCD)

  About Me / What we can do for you / Abuot My site
  / Contact me
  Hapa ujumbe wako unajichanganya. Section fulani unaonekana ni indivdiual tu , section fulani inaonekana ni team ya watu. Hili linawezekana ni tatizo sababu sio maneno yako umechkua baadhi ya maneno mazima mazim kutoka site fulani.Its dangereous unpochukua vitu shemu fulani unaweza kukuta umeandika kitu amabacho hukukusudia. So tafuta namna ya kuchakachua malezohayo uelezee product yako/zako

  Sijui vile vile unatarget ujumbe wako uwafike watu gani. Nadhani sambamba na k ingereza basi ungetengeza swahili version pia ya site yako. Kama designer itapendeza mtu achague lugha gani mtu asome na pia ujumbe wako utawafikia wengi zaidi. Nadhani umeshaona website ambazo unachgua lugha

  So hata kama unachukua maelezo ya site nyingine yachakachue uleezee ujumbe na poroduct yako.

  Utaonahata kwenye about my site umeelezea zaidi ukhusu webiste . Hujaeleze chochote kuhusu mambo ya Logos,Office stationary
  Leaflets, Brochures and Advertisements, E-Commerce Online Marketin. Hiyo ni sababu ya copy and paste bila kuchakachua.

  Kingine naona rangi hiyo nyesusi imechukua sana nafasi. yaani bacground ni nyeusi hivi na kwenye content pia bacground yake ni nyeusi. jaribu kufanya uchuzi zaidi wa typography.

  Cha mwisho angalia hao jamaa uliowaweka kwenye slider wasije wakakudai fidia kama sio wafanyakazi wako teh teh teh teh

  Otherwise goodluck mkuu
   
 3. K

  Kizzy Member

  #3
  Nov 11, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  sante mkuu kwa ideas zako really appreciate. Nategemea kufanya kazi na desiners wengine ndio maana unaona kuna wengi na umoja, lakini nimependa sana uchambuzi wako. pili kuhusu rangi nitabadilisha maana nina hiyo template nyingine ya blue(kwenye new project first one ) ipo kwenye PSD format nitafanyia coding soon, ndio nitakayo itumia kama official site.
   
 4. ellyrehema

  ellyrehema JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 1,046
  Likes Received: 695
  Trophy Points: 280
  Work hard
   
 5. s

  saq JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 270
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hi...
  I can see your a young developer...
  I can sugget you following:-

  1) I know you have used a template, you need to work on the design a little bit more...
  Put a BIG FLASH instead of the animation you have just now...or BIG ANIMATION with HIGH resolution PICTURES you can buy them from online websites.

  2) Youll need YOUR OWN DOMAIN NAME , in order to get your clients convinced that you are a professional.
  AND, youll need to provide HOSTING / DOMAIN REGISTRATION SERVICE yourSELF, if your designing websites also... As your clients who like to go elsewhere...

  You can drop me a PM, ..

  Check it at-
  www.saqqa.org
   
 6. Codezilla

  Codezilla Member

  #6
  Feb 4, 2012
  Joined: Sep 11, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  The design is clean and good.even though you've used a template i don't know from where but looks familiar..anyway for you to make it in the web design industry... i mean to be successful and sell your own templates learn css3, html5 and some photoshop
   
 7. zech

  zech JF-Expert Member

  #7
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 456
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 60
  not a bad design, you just need to practice more, practice css, you don't need a flash as it is not necessary but if you become good with css you can still use the same animation to skin it and make it better. also u need to focus on how to display your projects and if necessary you need to give them links so that clients can go and view the live sites, also for the guy from saqqa.com i have gone through your webpage but there are some stuff you need to work on like the way your content is displayed and your font is too small and inconsistent e.g the about page and the web designing page have two types of fonts, and the color is different as well. at least add a contact form on the contact page and if possible use a cms
   
 8. N

  Nyasiro Verified User

  #8
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  template c tatizo...umeichagua ni nzuri ila huo weusi mfano kwenye contact page zile field za name na comment huwez kuzitofautisha manake zimemezwa na background nyeusi pia tafuta domain nzuri
   
Loading...