Kujiondoa Kwenye hii huduma ya J500

fama

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
740
435
Wakuu, naombeni msaada wenu. Mimi ni mtumiaji wa AirTel, siku za nyuma nilikuwa nimejiunga kwenye huduma mojawapo ya jirushe, nilikuwa nikituma J500 kwenda 15558 napata dakika 40 kama sikosei. Siku hizi kila ninapoweka amount>500 wananiunganisha automatically wanakata hiyo 500. Naombeni msaadawenu ili nijiondoe kwenye huduma hii coz sikumbuki hatanilijiungaje1
 
KWANI ukijiunga unapata nini? si washaacha siku hizi? au offer bado inaendelea?
 
Back
Top Bottom