nikiingia inaniandikia your account temporary blocked,tatizo ni nn?
Ukiona hivyo ujue hiyo proxy inakuonesha uko sehemu nyingine tofauti na uliyosave kwenye profile yako!
OPERA ---- SSETTINGS --- PREFERENCES ---- ADVANCED TAB ----- NETWORK ----- PROXY SERVERS ----- USE MANUAL PROXY CONFIGURATION ----- tick HTTP kisha jaza hiyo proxy ---- tick USE PROXY FOR LOCAL SERVERS --- OK -----ENJOYJe kama natumia Opera browser?