Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Anayefahamu website ninapoweza kupata vitabu free.Nahangaika sana napata books in review. Msaada jamani
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu mwenye Anti virus naomba anisaidie maana ya kwangu ime expire na nilichogunduwa siku hizi kama hauna Licence ku update online ni mgogoro, au kwa yeyote mwenye mbadala, shida yangu ni Anti...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau naomba mwenye kujua dictionary software nzuri ya ENGLISH-ENGLISH anisaidie link au jina lake..Natumia Blackberry curve 8520. Mubarikiwe sana
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika hii picha inaonekana jinsi ilivyotuna kidogo hapo kati. Nahitaji kitu kama hiyo kwa ajili ya kutengeneza kitu katika muundo kama huo
0 Reactions
4 Replies
380 Views
natumia simu aina ya sony ericsson C902,imegoma gafla kupokea sms ila nikituma inaenda nina kama mwez na hili tatizo,nimefanya master reset bt where!mwenye kujua jins ya kutatua,maana mtu akituma...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Nimetumia simu blackberry nilivyomaliza nikaangalia kwenye browse nilikosave lakini sijapata kitu. Nitafanyaje ili nikione cose nimeshadownload
0 Reactions
0 Replies
774 Views
jamani wandugu kwa aneyejua kuchapa code za USSD tutafutane napenda kufanya hizi code. lakini sijapata material yake wala simulation zake.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari Wakuu Kuna hii technology yaitwa iCloud na sasa imekuwa kwa kazi ni uwezo wa kuhifadhi habari zako kwenye anga. Tunaweza kufahamishana how does it work...Kwa mfano nimedownload movie...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu sina shaka wote wazima. Ni juzi tu nimetoka kununua min laptot aina ya samsung hapa mlimani city. Nimeitumia kwa siku moja na kesho yake nilipoiwasha inanipa msg, boot mgr is compressed...
0 Reactions
1 Replies
928 Views
Ile simu iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu sana imezinduliwa jana hapa London. Kwa maelezo zaidi gonga hapa Galaxy SIII: Samsung Reveals Next Generation Smartphone Rival To Apple iPhone | Technology...
0 Reactions
0 Replies
973 Views
Google SSL: SSL stands for Secure Socket Layer This is the new and in beta feature from Google. Google SSL is secure connection between your computer and Google server. Any third party can't...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana jamvi sikielewi hiki king'amuz cha startimes zile non-conax chanel zinaonyesha vizuri lkn hizi zao sasa kila saa zinakwama kwama sielewi tatizo ni mitambo au kwa7bu nakaa nje ya mji lkn..non...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
guys mie nimenunua lap DELL INPIRON 1525.......lakini kwa nyuma kule ukitoa battery kuna sehemu pakuweka line ya simu..., lakini sijui if hiyo sehemu inatumika vipi sasa ?
0 Reactions
2 Replies
969 Views
Msaada tafadhali jinsi ya ku-unscramble channels!Ni kwenye strong receiver!Natarajia mautundu kutoka kwenu wadau wa tech.
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Came across this today and thought you might be interested Selenium Tutorial 1 Selenium IDE Testing RC Selenium Web Driver GRID Selenium Framework Training - YouTube Selenium: A tool to test web...
1 Reactions
0 Replies
784 Views
Ok nikwamba kwa taarifa ambazo tumepata hv punde ni kwamba tumekumbwa na msiba. Sasa bdo haijajulikana fasaha ni kwa muda tu au ndo moja kwa moja.. Ni kwamba the good news ni kwamba kuna upenyo...
5 Reactions
50 Replies
8K Views
hope mko poa kuna kitu nataka tushirikishane ivi kuna haja ya kujifanya mjuaji wakati aujui nasema hilo sababu kuna jamaa humu ndani alitoa taarifa kuwa anataka elfu tano ndo atoe ujanja wa...
0 Reactions
1 Replies
976 Views
samahanini wana jf naombeni websites ninazoweza kudownload movie kupia proxy ahsanteni sana mungu awbariki
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi kile kifurushi za Airtel cha 400MB kwa Tsh.2500/= Bado kipo na unakipataje wadau?
0 Reactions
2 Replies
917 Views
Back
Top Bottom