Msaada plz:Jinsi ya kucheck kazi zilizofanyika kwenye kompyuta

panyabuku

Member
Apr 2, 2012
81
4
Wadau ninaomba msaada kwani kuna Office ya Clearing and Fowarding natoa support kwa kazi za IT kuna program ya kukuwezesha kuconect na TRA sasa nataka kujua kama kuna software ambayo naweza kuweka kwenye machine yenye program hiyo ili kuzuia mtu aingiapo kufanya kazi za TRA nijue ni kazi ngapi zimefanyika kama nitakuwa sipo maeneo hayo ya kazi au nikipi nifanye bila software kujua hilo maana kuna kazi nyingi zinafanyika ila hakuna faida hapa ofisini na kukosa hata hela ya kujikimu kwan kuna mtu ndiye yupo kuendesha hizo issue za TRA ila kila siku hamna kazi ukifika ofisini ila ukitoka nje customers wanakushukuru huduma nzuri wanazopata ofisini uenda jamaa anatumia TIN yake yeye atumii ya ofisi nataka nijue wadau .
Naomba niwakilishe kwenu wadau kama kuna msaada juu ya hilo .
 
Download keyloger software uinstall katika hiyo computer.keyloger itarecord kwa siri all keyes(erufi)zilizotaipiwa ata kwa wiki nzima na kuziemail katika email yako!bila mtu mwingine kujua hilo.na ata kwenye program awezi kuiona then utaprint na kumwonyesha huyo kibaka dhambi zake.google key logger and follow instruction.rudi jamvini kutujuza what happens
 
Back
Top Bottom