Hackers @ TCU Web Application

Hackers @ TCU Web Application

fikramakini

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2010
Posts
247
Reaction score
60
Nimebaini leo asubuhi kwamba web application ya TCU imekua hacked ... aibu kubwa. Jaribu kutembelea cas.tcu.go.tz kujionea. Jamani kama kuna wataalamu wa IT wa TCU humu watoke waende wakarekebishe matatizo hayo.

Hivi ndivyo site ilivyokua inaonekana mida ya saa mbili kasoro asubuhi

hacked.png
 
kivip mbona iko sawa au mm naangalizia meno...au ndo wamerekebisha
 
why ipo hacked mi mbona naiona kawaida. Na ni ujinga kuhack website hio maana utapata laana za form six na watanzania kwa ujumla
 
Either hacked au under development.
Registration page haipo complete... Kama ipo kwenye ujenzi, ni heri kutumia "comin soon" page kuliko hii half baked solution.

A very poor site design na haiendani na general theme ya tcu main site.
Hao ma'engineers wa ICT hapo TCU hawajasikia au hawatimizi security, at least site ambayo unatakiwa uweke details zako, inabidi iwe under https na sio makopo ya http.
 
Nimebaini leo asubuhi kwamba web application ya TCU imekua hacked ... aibu kubwa. Jaribu kutembelea cas.tcu.go.tz kujionea. Jamani kama kuna wataalamu wa IT wa TCU humu watoke waende wakarekebishe matatizo hayo.

umekiona nini cha kufikiria hivyo........ mtu kuhack inabidi aweke data zake au ....
 
Haijawa hacked wala kuwa under maintanace. Nadhani unafikiri registration form ipo incomplete kwa sababu options nyingine hazipo. TCU website inatumia AJAX (Asynchronous Javascript And Xml) nadhani au DHML. Hii ni technology ambayo data are fetched loaded/fetched from the database or the script according to your selection. Ukichagua labda "Form 6" unaona inakuletea oprions. So, sidhani kwamba imekuwa hacked.

ANGALIZO: HACKING/HACKED ni neno kubwa sana ambalo watu wengi wanalitumia hovyo. Kuhack siyo kitu rahisi kama watu wanavyodhani. Mtu umeiba password ya mtu unaingiza email yake na kuweka password yake unasema "umehack"! Hiyo siyo hacking hiyo ni ICT crime based on violation of user privacy. Hacking unapitia mlango wa nyuma bila hata password (unapenya kwenye database (MySQL, Oracle, etc) halafu ndio unafanya hacking. Tuwe makini tunapotumia neno "Hacking".
 
Mkuu hiyo site ilikua hacked .... baadae TCU waka i-block ili ku-fix hiyo mess. Baadae ikapatikana hewani. Isitoshe kuona hivyo nilimpigia mtu wa karibu TCU akaniambia wanafanyia kazi.
 
kivip mbona iko sawa au mm naangalizia meno...au ndo wamerekebisha

Home page ilikua inapatikana kawaida ... tatizo ukifuata ile link ya application ambayo kabla ya wao kufanya marekebisho ilikua ni http://cas.tcu.go.tz

Check update ya post yangu hapo juu uone ilikua inaoneka vipi. Isitoshe niliongea nao wakakiri wameingiliwa so walikua wanafanya marekebisho.

Kwa sasa iko ok
 
Mbona vocha yangu yakataa yasema ati haipo?? Naombeni msaada wakuu
 
Guys hii ilikuwa hacked kwl wamerekebisha.. kama unabisha search google maneno haya:

este sitio es hacked

na utaona first result ni link ya hii site na inasema THIS SITE IS HACKED!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom