msaada wa haraka wakuu

Kitabu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
302
26
Nimedownload version 4.2 ya iphone 3G,wakati na update inanitaka niingize password,nimeingiza namba tofauti mara tatu imegoma,nifanyejeeeeee??????
 
version 4.2 ya software gani sasa??? au ndo unamaanisha iphone 3G version 4.2...??? never sikia hiyo mimi!!! isitoshe am very sure kabla hujadownload lazima kuna maelezo yahusuyo hiyo download ya kwamba ni wapi utapata hiyo pasword otherwise haiwezekani mtu aweke software yenye pasword ili watu wadonload afu asiseme utapataje hiyo password...:yawn::yawn:!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom