Now ni free kutuma sms..................

Now ni free kutuma sms..................

Unga wa Kitarasa

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
398
Reaction score
101
Mambo vipi wadau hivi yale mautundu ya kubadilisha center number ambapo unaweza kutuma sms bure yapo...? Kama yapo tujuzane wadau.......
 
Mambo vipi wadau hivi yale mautundu ya kubadilisha center number ambapo unaweza kutuma sms bure yapo...? Kama yapo tujuzane wadau.......
usipende bwana, maujanja mengine wala hayana mpango sasa ukituma bure kesho makampuni yataendesha shughului zake?
 
badilisha kwanza heading ya thread yako then ndo uulize...la sivyo utaambulia majibu ya hovyo tu!!
 
hiyo mambo ni yakizamani inabidi ujifunze kuwa unajiunga na xtreme sms sawa mkuu au download app za mambo hayo..
 
Dah,mimi hata sikumbuki kwa mara ya mwisho nilituma sms lini.
 
Heading yako imenitia hamasa kumbe nawe hujui kitu?
 
Back
Top Bottom