direct ftp download yenye ma-game mengi

direct ftp download yenye ma-game mengi

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Posts
32,263
Reaction score
44,391
kwa wasiojua ftp inamaanisha file transfer protocal ni nzuri kwa kudownload tofaut na http hizo hapo chini ni link za ftp zenye magame mengi sana na zina advantage kama hizi
-hamna kuwait kusubiri kudownload
-single link hata file liwe gb 5

ftp://89.237.41.12/incoming

ftp://188.134.70.53/ISO

Leta feedback kama kwako itakubali

Na kama utapata shida kuinstall file la iso unatakiwa udownload software moja inaitwa power iso umount hizo game kwanza kabla kuinstall (kama huna cd) au unaweza kuburn kwenye cd then ukainstall
 
nimejaribu na opera imekubali ukumbuke opera ina proxy(sema sio ile opera ya voda),

Then nkajaribu ku google nkaona zipo proxy za ftp mfano hii hapa

FTP Proxy
 
Most games needs a capable hardware....na ukiangalia huku bongo watu wengi wana dell optilex 270. So mtu kabla ya kupoteza bandwidth na hela angalia computer yako spcs na minimum requrements za hyo game yenyewe!!
 
mkuu chief hapo tunadownload vp magame nipe detals kidogo jinc ya ku set opera maana had hapa natumia trick kwenye mozilla
 
mkuu chief hapo tunadownload vp magame nipe detals kidogo jinc ya ku set opera maana had hapa natumia trick kwenye mozilla

shiny kila mtu ana upenz wake wa magame Kuna wanaopenda soccer, wengine action mi napenda rpg so angalia games gani zinakuvutia

Mi nimetry na opera ya simu sio ya pc sjatest kwa pc ila nafkiri setting zitakua hivi

Kwanza uhakikishe kama unatumia proxy iwe inasupport ftp na pia wakati unaeka proxy uwe umetick kibox cha ftp

Sina uhakika wa resume depend na proxy ila make sure una net isiyokatakata

Kama unataka opera ya pc fata step hizi
Setting--preference--advanced--network then utaona bar ya proxy inatokea
 
Naomba Ip address ya anwani ya FTP Proxy hapo juu please

67.55.70.177 hio apo ila iyo proxy nature yake huwez tumia ip nakushaur tafuta nyengine maana proxy zaid ya kumi zipo hosted kwa ip 1
 
ftp://89.237.41.12/incomingftp://188.134.70.53/ISOLeta feedback kama kwako itakubaliNa kama utapata shida kuinstall file la iso unatakiwa udownload software moja inaitwa power iso umount hizo game kwanza kabla kuinstall (kama huna cd) au unaweza kuburn kwenye cd then ukainstall
hapa niko nadownload lakini imenipa tabu kudownload kwa kutumia ftp, ili kufanya kazi iwe rahisi nimekuja na Http ya same site hapaIndex of ftp://188.134.70.53/ISOila hiyo magemu imegoma kuleta link ya http
 
kwa wasiojua ftp inamaanisha file transfer protocal ni nzuri kwa kudownload tofaut na http hizo hapo chini ni link za ftp zenye magame mengi sana na zina advantage kama hizi
-hamna kuwait kusubiri kudownload
-single link hata file liwe gb 5

ftp://89.237.41.12/incoming

ftp://188.134.70.53/ISO

Leta feedback kama kwako itakubali

Na kama utapata shida kuinstall file la iso unatakiwa udownload software moja inaitwa power iso umount hizo game kwanza kabla kuinstall (kama huna cd) au unaweza kuburn kwenye cd then ukainstall

mkuu, who is hosting this?
 
Angry Birds Space is fun!!!! Japokua ni la kitoto zaidi!!!
 
ip adress hii 67.55.70.177 nimeombwa user name na password,siajua naipataje...help afu kama utakuwa na ip yenye movies tu
 
ip adress hii 67.55.70.177 nimeombwa user name na password,siajua naipataje...help afu kama utakuwa na ip yenye movies tu

In short haifai achana nayo mwisho watataka uilipie nkipata ya movie ntaeka
 
Back
Top Bottom