msaada jinsi ya kuweka password ili mtu aiangalie salio lako la simu

Skillseeker

JF-Expert Member
Jan 30, 2012
225
34
Habari wanajf,
naombeni mnielimishe jinsi ya kuweka password kwenye simu ili mtu akitaka kucheki salio ashindwe kuona mpaka aingize hiyo password. hii kitu nilionaga kwenye simu(nokia) ya jamaa mmoja kitambo sana lakini sasa nahitaji nijue. Yani ukishika simu yake ukataka kucheki salio unaona inakuandikia enter password. Ukiingiiza correct password ndo unaweza kuona salio.
 
sjajua simu yako ni ya aina gani ila kwa symbian its possible kama utasave hio namba ya kuangalia salio yaani *102# kama contact halafu ukaset mtu asiikol hadi password

Application zenye uwezo kama huo ni kaspersky mobile security au advance call manager
 
Kiboko ya password ni simu za samsung. ni mwisho wa matatizo coz unaloki chochote unachojisikia bila kuathiri mifumo mingine
 
sjajua simu yako ni ya aina gani ila kwa symbian its possible kama utasave hio namba ya kuangalia salio yaani *102# kama contact halafu ukaset mtu asiikol hadi password

Application zenye uwezo kama huo ni kaspersky mobile security au advance call manager

nashukuru sana chief..mimi nina nokia 5235.. kwani ni lazima nitumie third party application. hamna inbuil;t features zitakazoniwezesha mimi kuaccomplish hii kitu ??
 
huyo nadhani kuna application alikua anatumia, kitu cha ukweli ni kaspersky, ambayo unaweza hata ku tress sim yako pale ikipotea na mtu akaenda ku change line, inakua inaku update kwa kukutumia msg kadri atakavyo zibadilisha line, so try kasper sky mkuu
 
Vp wadau nami natumia Sony Ericsson P990i vp naweza fanya kama alivyoomba mdau juu? na je inapatikana sehemu ipi?
 
jaman msipende kulishwa na vijiko jaribuni, wote mlotaja simu zenu yani 5235, n73 na n72 zinakubali try kudownload hio kaspersky trial version then mjaribu au advance call manager

Just google mfano ""advance call manager n73 download free""
 
mi naomba kujua jinsi ya kuzikataa zile please call me na please recharge me,zinaniboaga kweli
 
yani kwa symbian hizi 3rd part application za ku detect simu yako inapoibiwa kwangu sidhan kama zina msaada maana, mtu aki press *3 na call button halafu akawasha simu akiwa amezi hold itaondoa ma password na hizo application zote utakazo kuwa umeweka inshort ita ji format na kuwa kama ilivyokuwa siku unaitoa dukani na ataendelea itumia kiulain bila was was.
 
The only way labda unune gps ya nokia ile inayoconect na map za nokia hata aformat na kuflash mara bilion gps haichange nafkiri dola 6 hadi 19 kwa mwaka am not sure price
 
jaman msipende kulishwa na vijiko jaribuni, wote mlotaja simu zenu yani 5235, n73 na n72 zinakubali try kudownload hio kaspersky trial version then mjaribu au advance call manager

Just google mfano ""advance call manager n73 download free""

kaka hilo nalo tatizo...jinsi gani tunaweza kupata full version..mimi ninazoziona zote ni trial version. je naweza kuwa naunistall na kuinstall tena kila inapokaribia muda wa kuisha. mchezo huo utasaidia?
 
Inabidi uhack simu maana kupata full version ni ngumu sana kama simu haiko hacked na sio trial zote zinalimit ya muda trial nyengine ni za maisha sema unakuwa limited kwenye function flani flani

Tena kama application ina sehemu ya kuregister kwa kueka code pia unaweza download keygen then ikagenerate code.
 
Hii kali salio nalo limekuwa siri! :bolt: Anyway kwanini usiweke screen lock yenye password? Hiyo itazuia kila kitu nadhani.
 
huyo nadhani kuna application alikua anatumia, kitu cha ukweli ni kaspersky, ambayo unaweza hata ku tress sim yako pale ikipotea na mtu akaenda ku change line, inakua inaku update kwa kukutumia msg kadri atakavyo zibadilisha line, so try kasper sky mkuu

wadau, naona maluweluwe tu hapa. Ni kasper sky hii antivirus au ni kasper sky nyingine?
 
Jaribu kudownload Netqin mobile assistant utaniambia. Hiyo kaspersky tupa kule.
 
Back
Top Bottom