Laptop aina ya dell latitude d 620 screem imekuwa nyeusi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Laptop aina ya dell latitude d 620 screem imekuwa nyeusi

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by kiloloma, May 10, 2012.

 1. k

  kiloloma Member

  #1
  May 10, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Laptop yangu kila nikiwasha screen inakuwa nyeusi lakini taa zina blink je nifanyeje naomba msaada wenu
   
 2. f

  fisadimpya Senior Member

  #2
  May 10, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 135
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  hiyo yakizaman mno itakukost bure kununua screen
   
 3. MtuMmoja

  MtuMmoja Member

  #3
  May 10, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Itakuwa imevunjika INVERTOR inayounganisha screen display.......Kariakoo mafundi kibao wapo ......watashughulikia tatizo!!!!laptop yangu ilikuwa hivyo hivyo inawaka lakini screen nyeusi icon zinaonekana kwa mbali sana
   
Loading...