After having dug to a depth of 10 feet last year, British scientists found traces of copper wire dating back 200 years and came to the conclusion that their ancestors already had a telephone...
Ninatumia line ya VODA na ninaongezewa salio na mwajili kwa VODAJAZA..
tatizo ni internet bundles nikinunua sipewi na hata cheka time sometime ni issue sijui kuna mtu ameliona hilo!?
Nimejaribu kuunga laini yangu ya airtel lakini nikifika kwenye kuingiza tarehe inasema "umekosea kuingiza tarehe." Nimeshindwa kuelewa format ipi nitumie. Kadi imeandikwa 05/14. Msaada tafadhali.
wiki chache zilizopita mkoa wa arusha umekua na matatizo katika tv chanels,hasa kwa wale wanaotumia satellite dish zinazochukua kutoka intelsat 64 e,chanel za itv,ch10,na tbc zinapatikana...
Habari
Leo nakuja na challenge kuhusu Software Development. Imagine leo hii ungekuwa upo final year (chuo) ukisoma COMPUTER SCIENCE,SOFTWARE ENGINEERING ,INFORMATION SYSTEM au ITna ukaambia...
Hey guys,
Je ni tovuti gani unaikubali zaid Tanzania? ukitoa Jamii Forums.
Binafsi ipo hii Tanzania Online Shopping gateway Big up kwa wamiliki na madisigner wake
Habarini wakuu,
Simu yangu ya Android imepasuka kioo. Touch haifanyi kazi. Nimeshindwa kugundua ni model gani kwa sababu nje haijaandikwa maker na ikiwaka ni ANDROID. Point ni kwamba, nitapata...
Nimejaribu kutafuta pdf writer lakini nimeshindwa kupata; Nilijaribu kwenda kwenye website yao kudownload trial version ili nianze kusaka key lakini ilinigomea kudownload. Naombeni mwenye nayo...
sajazoea kutumia sana laptop, naomba kujua jnsi ya kudownlod aplications na kuzinstall,pia kama unajua antivirus aplications na zngne unijujlshe asanteni
Habari wadau natafuta griver za mashine hiyo hapo juu nahitaji kuitumia kama printer kutoka kwenye pc lakini nikidownload driver zake zinakuja kama .zip zina shindwa ku execute mwenye link ambayo...
wakuu nlikua naomba msaada
wa software inayoweza
kuburn svcd kwenye dvd deki
yangu ni singsung nikiweka
video kwenye flash inasoma ila
sijapata jibu nkiziburn kwenye
dvd
wakuu nlikua naomba msaada wa software inayoweza kuburn svcd kwenye dvd deki yangu ni singsung nikiweka video kwenye flash inasoma ila sijapata jibu nkiziburn kwenye dvd
simu yangu ni nokia 5230 haisomi PDF life,lkn niki-download inakubali,baada ya kudownload halifunguki file. Nikitaka kufungua inaniandikia "unable to open,File type not supported" waungwana je...
Helo, wadau.
nafungua blog yangu soon, still under construction.sasa nahitaji maelekezo ya jinsi ya kuweka icons mbalimbali na gadgets, on the sides..asanteni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.