Bungeni kumekucha Mpaka raha!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bungeni kumekucha Mpaka raha!!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by KakaKiiza, Jul 12, 2012.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  Kama unataka kusikiliza bunge na wewe huna Radio basi ingia hapa ujipatie uhondo......
  TuneIn Web Tuner
   
 2. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2012
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...Naomba kuuliza: Hivi kwa mfano ninaposikiliza radio kama hiyo uliyoweka link hapo kwa muda wa saa 1 ninaumia kiasi gani kwenye bundle yangu ya internet niliyoweka??
   
 3. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #3
  Jul 12, 2012
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Ni hela ndogo sana, mi natunia hiyo "tunein" kwenye my phone android tena kwa bundle ya epiq nation ya zantel 50mb.nawala hamaliziki nafanya na mambo mengine.
   
 4. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #4
  Jul 12, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Nifanyeje ili na mimi niweze kuisikiliza hiyo redio kwenye simu yangu ya samsung GT S5830i
   
 5. N

  Nyasiro Verified User

  #5
  Jul 12, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  nimeipenda simple, faster, singo click...
   
Loading...