Tovuti Ya TBC: Muonekano mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tovuti Ya TBC: Muonekano mpya

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Given Edward, Jul 7, 2012.

 1. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #1
  Jul 7, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Habari Wakuu.
  Katika nyakati za hivi karibuni website ya TBC, yaani http://tbc.go.tz imekuwa ikilalamikiwa sana na wadau kwamba ipo chini ya kiwango na hairidhishi. Wadau kama Mtazamaji na Kang walikuwa mstari wa mbele kuhamasisha maboresho ya tovuti ya TBC.
  Nimedesign website mbadala wa site ya TBC na nimeiweka hapa http://tbc.hostoi.com na features nyingi zinaonekana hapo. Nitajaribu kuwapa TBC hii tovuti lakini wasipoitaka nitaitupa na kuifuta. Kama kuna mwenye maoni ningependa kuyasikia. Hii ni moja ya websites nyingi nilizotengeneza so worry not when giving comments. Itanisaidia hata kwenye websites nyingine nilizotengeneza. Nawasilisha,

  GIVENALITY
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mbona hizo link hazifunguki kwenye michina yetu..
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  ngoja niicheki..
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #4
  Jul 7, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mkuu sidhani kama kwa ukubwa wake itweza kufunguka kwenye mchina.
   
 5. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #5
  Jul 8, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,943
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  nadhani hiyo site ni joomla. unaweza kuadd extension ya kuifanya iwe mobile compatible, eg iwe ina detect android, iphone, blackberry, simu za kawaida na kubadili muonekano ili kufiti size ya skirini ya izo simu
   
 6. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #6
  Jul 8, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Akichokuwa anaongelea ni kufungua kwenye mchina. Simu za mchina hazisupport JavaScript na kama zipo ni chache sana. Kuhusu kufanya website iwe supported na mobile devices, nimeshafanya hivyo. In fact, nimeshatengeneza mpaka mobile application for major platforms.
   
 7. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #7
  Jul 8, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  I hope itatulia.
   
 8. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #8
  Jul 8, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Ujinga mtupu, television ya taifa inatuwekea site yenye text badala ya kufanya live broadcast ya TV na radio zake, tunaishia kusikiliza kiss fm na clouds fm. Hili shirika linashindwa na Arusha mambo! Hovyo kabisa. hatuna interest na text hizo, maana hizo tunaweza kuzisoma hata kwenye magazeti. Tunataka live broadcast.
   
 9. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #9
  Jul 8, 2012
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  bro me naona yako its not user friendly!! bora yao wenyewe its user friendly than urz
   
 10. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #10
  Jul 8, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Ok. Bora yao ni user-friendly......how?
   
 11. BobKinguti

  BobKinguti JF-Expert Member

  #11
  Jul 8, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 222
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nimejaribu kuicheki, kuna error inatokea kila ukiifungua hiyo page. Vilevile nimecheki na original ya TBC then nikafanya comparison. Mtazamo wangu, ya kwako ina contents nyingi ukilinganisha na ya kwao. Kwa upande wa picha, yakwao naona picha zao zina mvuto kiasi ukilinganisha na za kwako na vilevile images zao zina move/slide kitu ambacho naona kidogo kinaongeza mvuto kwa watazamaji na kwa upande wa zakwako hazi-move. Mwisho nadhani ukifanya maboresho kiasi kwenye hii site yako, itakua iko juu ukilinganisha na ya kwao. Nimewekea snapshots za zote sites for easier comparison.

  [​IMG] [​IMG]
  Hayo ni maoni yangu.
   
 12. U

  Uswe JF-Expert Member

  #12
  Jul 8, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135

  itkua addition nzuri, lakini kazi iko poa

  did you use gavickpro? if yes, is it something you can recommend to Joomla Developers?
   
 13. U

  Uswe JF-Expert Member

  #13
  Jul 8, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  haya :) :)
   
 14. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #14
  Jul 8, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Thanks, I seem not no find the images you attached. Unaweza kuzipandisha tena?
   
 15. leh

  leh JF-Expert Member

  #15
  Jul 8, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  sijaona tofauti kubwa kati ya kwako na ya tbc. kwa kuboresha zaidi au kuifanya better than ya TBC, ninaona ungeongeza ongeza abit more color into it, ukicheki hata sites kama cnn.com na news.sky.com ambazo ni news oriented stations wamejaribu kufanya their sites colourful ili ivutie zaidi.
  link hata video clip moja
   
 16. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #16
  Jul 8, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Ok, ahsante. Do you know the TBC webmaster?
   
 17. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #17
  Jul 8, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  any other opinion?
   
 18. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #18
  Jul 12, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Nawashukuru kwa maoni yenu wote!
   
 19. leh

  leh JF-Expert Member

  #19
  Jul 12, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  umeshawafuata TBC?
   
 20. Given Edward

  Given Edward Verified User

  #20
  Jul 12, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Not really. Will do that this weekend.
   
Loading...