Msaada kwenye Blackberry app word | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kwenye Blackberry app word

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mringo, Jul 6, 2012.

 1. M

  Mringo JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2012
  Joined: Jun 23, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Wadau siku kadhaa sasa tangu nilipo upgrade software kwenye simu yangu, tatizo ni kwamba siwezi tena kudownload kitu kwenye app word. Inafunguka vizuri tu nikichagua kitu nidownload inaniletea error hii "No cached credentials. (Error Id: 40721)
  Mwenye kuweza kunisaidia tafadhali.. nimejaribu ku-unstall na kuirudisha lakini tatizo bado linaendelea..
   
 2. callist

  callist Member

  #2
  Jul 7, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hilo tatizo lipo Sana kwa blackberry Mringo Cha kufanya Reload Your Blackberry Software
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. M

  Mringo JF-Expert Member

  #3
  Jul 8, 2012
  Joined: Jun 23, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Ahsante sana callist ingawaje sijakupata kwenye ku-relord...unamaanisha software nilizozidownload nizidownload tena au...maana hata nikifungua app world kwenye browser siwezi kudownload chochote mpaka nitumia cable nidownload kwenye pc..
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. callist

  callist Member

  #4
  Jul 11, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unapo Reload Software Ya Blackberry Ni kwamba kama una update Your Software..cha kufanya nenda Kwa Blackberry website na Your computer then Ingia Kwa Software then click update Your software via Web,after kuna ka program kanaitwa blackberry webloader hakazidi 30mb kidownload Then Install baada ya Hapo chukua usb Cable yako then Connect kwa Pc na kwa phone afu open ile program itaanza kusearch your bb pin after hapo click next then follow wanachokueleza ..kumbuka kabla ya Hapo back up your numbers,apps usi backup coz kwa hyo app kuna mahal pa kuback up then wait ni kama dakika 45 hv utakuwa umemaliza..kumbuka Internet connection lazima iwe active..
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #5
  Jul 12, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Mkuu wangu hivi ukiwa unataka ku download hizo program upo connected na BIS au haupo connected??Kama hauna BIS lazima upate hiyo error. hiyo error inatokana na kwamba huna BIS
   
 6. callist

  callist Member

  #6
  Jul 12, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siyo kila app kwa blackberry lazima uwe na BIS ndo utumie,App world Unaweza kutumia Bila BIS bt wana recomend Uwe na BIS kibiashara Zaidi..even 3rd part apps si lazima uwe na BIS..apps kama Whatsapp,hootsuite,operamini,ubersocial zote bila BIS unatumia tu.
   
 7. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #7
  Jul 12, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,978
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Jaribu kuweka APN kwenye hiyo Blackberry yako kisha ujaribu tena kudownload
   
 8. M

  Mringo JF-Expert Member

  #8
  Jul 12, 2012
  Joined: Jun 23, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Nawashukuruni sana tatizo limekwisha sasa...long live jf
   
Loading...