Mafunzo ya IP V4 toka AfroIT - Video | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mafunzo ya IP V4 toka AfroIT - Video

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Kilongwe, Jul 12, 2012.

 1. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Katika mlolongo huu wa makala za IP, tutaanglia juu ya maana ya IP, kazi na utendaji kazi wa IP katika lugha rahisi na yenye maudhui ya Kitanzania. Huu ni muendelezo wa mafundisho ya Sub netting. Source: AfroIT Videos  Sehemu ya pili.  Tukutane sehemu ya nne ambayo ni jinsi ya kusbnet, mambo ya VLSM na mengineyo.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kwa hiyo mkuu yale mambo ya joomla yameshaisha mkuu lakini poa tu tupo pamoja..:cheer2::cheer2::cheer2::cheer2:
   
 3. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #3
  Jul 12, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mkuu bado ila leo tulikuwa break, tunaendelea kesho, kwani umeshamaliza hadi shemu ya tano??
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  leo ndio namalizia hiyo tutorial ya tano.. soon tu ntakupa feedback ya nini nilichojifunza..
   
Loading...