Msaads: YouTube kwangu inaonyesha chenga

Kiresua

JF-Expert Member
May 13, 2009
1,184
259
Wana Teknolojia,

habarini za asubuhi jamani? kwa kupindi karibu wiki tatu sasa laptop yangu inashindwa kusoma/kuonyesha youtube video and streaming. Inaonjesha chenga tu kamma TV ambayo haina eria. Inatoa ujumbe pia kuwa "An error occured. Please try again later"

sijui na ninyi mnakabiliwa na tatizo hili?

Nimejaribu kuapdate Java, adobe flash player, lakini wapi bana!! hovyo tu.

Nina internet ya kasi nzuri

asanteni kwa msaada wenu!

Kiresua
 
Back
Top Bottom