Msaada wa EMS SQL Manager for MySQL | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa EMS SQL Manager for MySQL

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by chwechinyong, Jul 13, 2012.

 1. c

  chwechinyong JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 224
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Habari wadau,

  Nina shida na EMS SQL Manager for MySQL..

  Je, kuna link yoyote ambayo naweza ipata hiyo kitu for free?

  au kama kuna mtu yeyote anaeweza nisaidia hiyo kitu itakuwa pouwa sana

  Msaada wenu ni muhimu sana wadau.
   
 2. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
 3. c

  chwechinyong JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 224
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ahsante sana kaka kilongwe kwani nimefanikiwa kuipata ila kila nikijaribu ku-create database napata ujumbe huu "Access denied for user 'username'@localhost (using password:YES). Nimejaribu ku-create DB tofauti imegoma ila nikijaribu kwenda na ile ya default inakubali bila tatizo, je tatizo ni nini? Thanks in advance
   
 4. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Bila ahsante kaka kwani hili ni jukumu letu kuisaidia jamii, sisi wana IT inabidi tuandamane kwa kivitendo. Inatakiwa kwanza kuregister host, nimeelezea AfroIT - Elimu ni Ushindi :: Topic: GUI kwa ajili ya MySQL (1/1)
   
 5. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
 6. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ooh, kumbuka kutumia password ya user unayemtumia kutengenezea hiyo database, kama user ni afroit basi tumia password ya afroit na sio ya root, tatizo hilo ni kwa ajili ya password tu
   
Loading...