Hi Kchibo
Laptops,Notebooks and Netbooks
Hizi zote kazi zinafanana na tofauti zake ni ndogo sana,
Bare in mind ni vifaa vyenye sehemu kuu mbili Screen and Keyboard attached together by hinges
Tofauti zake ni kwenye uzito na size tu,laptop ndio kubwa zaidi,then notebook alafu netbook,
Netbook ni nyepesi zaid ya notebook na ina hardware chache (ie haina cdrom) kwa hiyo inasaidia kutunza chaji zaidi,display screen sio kubwa sana inapunguza pia power inayotumika ku light screen,HD ni ndogo in size thus power supply inapungua uzito pia,
Inakua ni rahisi kushika/kubeba and you can make it mobile(kutembea nayo hata kwenye pochi ama kamkoba kadogo)
Bei pia ni chini
So just go for netbook pal
Ahsante Jamiix kwa ushauri wako hata me ningependa kutumia netbook lakini kikwazo knakuja kwenye CD/DVD ROM, je kuna baadhi ya netbooks zenye CD/DVD DRIVES na hata kama zote hazina external zinaweza patikana?
yeah, the difference in notebooks, netbooks and laptops ni ndogo sana. (at the risk of being repetitive), tofauti sana sana ni raw horse power, power management, weight na screen size. unaponunua moja, u trade one thing for another (ukichukua netbooks na notebooks, unapata charge ya kutosha ila unakosa screensize ya kutosha na processor power).
ila kuna a third option ambayo hamna mtu aliyetaja. u see, while laptops zinakuja na high ended processors (core, core duo, quad core, i3, i5, i7, phenom, athlon, x2, a4) notebooks zina low based processors (atom na fusion) ili kusaidia kumanage moto na ofcoz zinakosa other better hardware kama cdroms, more ram vga. this ofcourse ni ili ziwe more portable. screen prices pia zinakuwa smaller to make them even more light and portable (laptops zina range from 15.6" to 21'' while notebooks na netbooks zina range from 10-12"). sasa hapo ndipo intel waliona kwamba there must be a better way to combine the best of both worlds (power and size) na ndipo
ultrabooks zinatokea
ultrabooks, kutumia maneno ya wiki ni:
Ultrabook is a higher-end type of subnotebook defined by Intel. Ultrabooks are designed to feature reduced size (less than 2.1 cm thick) and weight (usually less than 1.5 kg (3.3 lbs)) without compromising performance and battery life. They use low-power Intel processors with integrated graphics andunibody chassis to fit larger batteries into smaller cases.
Hivi basi, ultrabooksni notebook yenye uwezo wa laptop na udogo wa notebook. zina nguvu ya kutosha na ni portable balaa. lakini, for all that, be prepared to pay a higher than norm price for these litle beauties.
nakumbuka mwaka jana i bought an hp envy 4 ambayo ilikuwa i5 core, 12" display, 4gb ram, ati premier card, 500gb ram, 128gb ssd. kama unavyo ona, hizo sio specs za kitoto, ila nayo i paid around 900$ na ilikuwa used. nilikuja kuiuza baadaye coz nilitaka kuingia chuo but thats another story
:focus:
so mkuu, if you have the money, tafutana na ultrabook, hizo mashine ni zaidi ya splendid. if not, mie simshauri mtu yeyote anunue netbooks au notebooks (pieces of **** imo), bora ununue an older model ya laptop (duo core na core zina price range almost sawa na notebooks)
regards leh