Google Maps sasa na maelekezo kwa watembee kwa miguu kwa nch 44 za Africa.

Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,495
2,252
sdg6ypb68trvkoNYhWUCRrQ.png

Google Maps imeleta maelekezo kwa watembea kwa miguu kwa nchi za Africa, feature inayopatikana nchi nyingine kwa siku nyingi sasa.

7QzUI.png
 
duh..sasa mkuu kwenye hii ramani inamaana inaonyesha mtu akitaka kutembea from Kawe mpaka mlima kilimanjaro kwa miguu siyo...??!!:nerd::nerd:
 
Labda alikuwa anamaanisha kwamba hizo maps zinasaidia kupata direction ikiwa kwa njia ya barabara ukiwa kwenye gari ingawa utahitaji 3G na Wifi enabled smartphone mobile phone.
 
duh..sasa mkuu kwenye hii ramani inamaana inaonyesha mtu akitaka kutembea from Kawe mpaka mlima kilimanjaro kwa miguu siyo...??!!:nerd::nerd:

Ndo maana yake. Niweweka kama joke tu.
 
Back
Top Bottom