Masaada juu ya kukonekti watu zaidi ya wawili katika maongezi.

Jeho

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
5,053
5,503
Wadau nahitaji msaada wenu katika hili, nawezaje kuunga namba yangu katika maongezi ya mtu mwingine. Hii ni kwa mfano, mtu apigiwe simu, ila mimi pia nipokee ila nisiwe na uwezo wa kuingilia mazungumzo kati yao lakini nisikie mazungumzo yote. Nitashukuru sana.
 
Rupert murdoch yule tajiri wa magazeti ya the sun, independent etc pamoaja na utajiri wake wote yupo kizimbani kwa sababu hiyo hiyo-kuingilia mazungumzo ya waatu-hacking . kosa la jinai hilo mwanangu. Ogopa.
 
Nenda hackers forum, huko utawakuta wajuzi wa mambo hayo..watakufundisha zaidi ya hayo..!
 
Wivu mwingine huu ni wa kipuuzi sana, achana kumfuatilia Mwanamke, kama ni mpenzi/mke wako muache ajichunge mwenyewe, haya ni magonjwa ya moyo unayatafuta.
 
Wadau nahitaji msaada wenu katika hili, nawezaje kuunga namba yangu katika maongezi ya mtu mwingine. Hii ni kwa mfano, mtu apigiwe simu, ila mimi pia nipokee ila nisiwe na uwezo wa kuingilia mazungumzo kati yao lakini nisikie mazungumzo yote. Nitashukuru sana.

Km una wasiwasi naye si uachane naye kuliko kukaa na pressure kiasi cha kuumiza roho yako. Hiyo inawezekana lakini ni kosa la jinai na ukikamatwa ni jela. Kuwa mpole na wazo unalolitoa ni sawa na watu wanaoenda kwenye madirisha ya watu usiku na kusikiliza unachoongea. Kama na hivyo huwa unafanya basi ujue si tabia nzuri ila kama haufanyi na haupendi kumbuka unachotaka kufanya kinafanana na hicho. Think big!
 
Kwel vilazwa wengi mnakosa cha kufikiria kabisa.achana na upuuzi huo Mkuu.
 
Wadau nahitaji msaada wenu katika hili, nawezaje kuunga namba yangu katika maongezi ya mtu mwingine. Hii ni kwa mfano, mtu apigiwe simu, ila mimi pia nipokee ila nisiwe na uwezo wa kuingilia mazungumzo kati yao lakini nisikie mazungumzo yote. Nitashukuru sana.

Unataka nini? UsaidIwe

Unamuke mpezi kicheche
 
Wadau nahitaji msaada wenu katika hili, nawezaje kuunga namba yangu katika maongezi ya mtu mwingine. Hii ni kwa mfano, mtu apigiwe simu, ila mimi pia nipokee ila nisiwe na uwezo wa kuingilia mazungumzo kati yao lakini nisikie mazungumzo yote. Nitashukuru sana.

Acha kutumia masabuli wewe!!! unataka kuingilia maongezi ya watu????
 
Wadau nahitaji msaada wenu katika hili, nawezaje kuunga namba yangu katika maongezi ya mtu mwingine. Hii ni kwa mfano, mtu apigiwe simu, ila mimi pia nipokee ila nisiwe na uwezo wa kuingilia mazungumzo kati yao lakini nisikie mazungumzo yote. Nitashukuru sana.[/QUOTE.

Pm nikupe data
 
tumia landline ya TTCL Kama zamani moja chumbani nyingine sitting room akipokea chumbani we unanyanyua taratibu sitting kwisha kazi
Duh kazi ipo
 
Kama umuamini shem mtafute yule Mbunge wa Korogwe akufanyie Teknik kama yule jamaa wa Kenya.NingaR akiingia anga zako itakuwa mia mia coz kutega sm ni kutafta mpesha ya bure
 
Back
Top Bottom