Naombeni msaada wenu wadau wenzangu chap! Nokia N73 kuflash! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naombeni msaada wenu wadau wenzangu chap! Nokia N73 kuflash!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by LiverpoolFC, Jul 9, 2012.

 1. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #1
  Jul 9, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Nategemea ushirikiano mzuri toka kwa mdau yeyote wa hapa jamvini.

  Nataka kuflash simu yangu ya Nokia N73 kwn nahisi imelord sana!

  Nawasilisha!
   
 2. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #2
  Jul 9, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,245
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  *#7370# ok then itakwambia tia pass (12345) itarestart then BIEN
   
 3. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160

  Ama kweli humu jamvini tuna kila aina ya raia!
  vanmedy! Ninashukuru sana Mkuu wangu! NtakuPM baadae kidogo na bila shaka nitakujuza nitakayo kwa kirefu!

  UWE NA WAKATI MZURI MKUU!
   
 4. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #4
  Jul 10, 2012
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...Tunashukuru kwamba umepata msaada unaohitaji lakini next time huna haja ya kuweka hii kama 'Breaking News'! Unakuwa umeyatumia visivyo hayo maneno kwa jinsi tulivyozoea hapa JF. "Msaada kwenye Tuta!" inakuwa vyema zaidi...! Ubarikiwe.
   
 5. M

  Mwangalumemile Member

  #5
  Jul 10, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Heshima wakuu naombeni msaada wenu Nokia N73 nimeflash lakini nimepoteza namba zote za mawasiliano je nitaziricover au ndo basi kwishinei? msaada wenu tafadhari
   
 6. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #6
  Jul 10, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,273
  Trophy Points: 280
  Siku nyingine ujifunze matumizi ya neno Breaking News.
   
 7. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #7
  Jul 10, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  BabaDesi Matola na wengine kama hao,bila shaka mmesomeka na niwatake radhi pale nipowakwazwa kwa hili la "Breaking News"

  Niwasoma vema!
  Mwangalumemile! Hata nami nimezivutilia mbali nambari zote zilizokuwa kwenye simu ila iliyokuwa kwenye lain bila shaka nimeziona.

  Pole sana Kamanda!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #8
  Jul 10, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kama hukuzi"back-up"kwenye memory card utasubiri mpaka Yesu arudi!
   
 9. T

  T.K JF-Expert Member

  #9
  Jul 10, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 345
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  U made my day!! hata mwenyewe aliyeomba msaada kwa comment hii lazima acheke tu!!
   
 10. M

  Mwangalumemile Member

  #10
  Jul 10, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Liverpool FC
  Shukrani mkuu kweli usilolifaham ni sawa na giza, siku nyingine nitakuwa mwangalifu.
   
 11. Ndelembi

  Ndelembi Member

  #11
  Jul 11, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka kwa kui-flash simu yako fuata maelezo haya:
  zima simu yako,toa line na memory card,kisha hold buttons za 'green calling key,3 na * kwa pamoja,kisha iwashe simu yako..hapo utakuwa umeiflash cmu yako
   
 12. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #12
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,245
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  fungua phonebook click options then phone directory then sim contacts ...mark all...copy to phone memory...HII ITARUDISHA NUMBERS ZA JWWNYW LINE KWENYE SIMU YAKO... N series ni hadi ucopy kwa phone memory....
  NEXT TYM FANYA BACK UP YA NO ZAKO KWENYE MEMORY CARD AU INSTALL NETQIN ANTIVIRUS(i search www.getjar.com) na ufanye contacts back up
   
Loading...